Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Huyo anakuandaa kwa matumizi ya badae huku we ukimpa penzi la kitandani yupo anae mpa penzi la pesa.

Why your mind is so corrupt my dada? You want to tell us that no possibility of being loved without giving out some money? I know you can think better than this!!
 
Why your mind is so corrupt my dada? You want to tell us that no possibility of being loved without giving out some money? I know you can think better than this!!

Hiyo lugha ilikuja na meli sielewi tafsiri.
 
Haya bhana uzi usije ukauleta mwingine ukisomeka hivii.".hamna mapenzi ya kweli bila pesa yamenikuta mwenzenu."
 
Hivi PESA na UCHI bora nini?
Watu wanasema kwamba watu wanatafuta PESA ili wapate UCHI, na wenye UCHI wanauza ili wapate PESA, kwa kweli hili swali nimeshindwa kupata ufumbuzi kwamba ipi inadhaminiwa zaidi.
Tumeshasikia watu wakiuawa kwasababu ya PESA, pia tumeshashuhudia watu wakiuawa kwa sababu ya UCHI
JE NI IPI INA NGUVU KTK MAISHA YA BINADAMU WA SASA WA KIDIGITALI
 
Mm nikidhani humu kuna watu na busara zao, kumbe ovyo tu!!... Jadili mambo yanayoweza kumjenga mtu mawazo, kumpa elimu pia ya kimapenz..
 
kama haikujengi ww chapa lapa au weka mdomo gundi, si lazima uchangie kama haikujengi ila kaa ukijua tunakujua wewe ni mzuri tu wa kuhonga UCHI kwa kutumia PESA zako na unazipata kwa suluba!
 
Ukiwa Na pesa utapata nyuchi nyingi Na za kila aina...teh teh teh unaweza ukawa Na jiuchi usipate hata 100
 
Kila mtu ana uchi, lakini si kila mtu ana pesa...

Kinachokosekana kwa wengi ndio chenye demand kubwa...

So do ya math hapo utapata jibu....
 
Back
Top Bottom