Nimfanyeje huyu dada?

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Ndugu wana jf. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye kimsingi ninampenda sana. Ni mwanamke anayejiheshimu sana japo kwa siku za hivi karibuni amekuwa na mapozi sana. Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano ( mwaka 1 ss) sijawahi kumchakachua kwa kuwa nina malengo makubwa zaidi ya kuwa mke wangu. Kutokana na tabia inayojitokeza ya kuanza mapozi imenifanya nitamani kubandua. I know from religious point of view that sex before marriage is both immoral and spiritually destructive, but with regard to the current social context where nearly everything is upsidedown and vice versa, je itakuwa sahihi mimi nikimchakachua ukizingatie nia yangu ya kumuoa huyu mwanamke?

Naombeni ushauri
GZ
 
Hongera sana mkuu kwa kuwa mvumilivu kukaa muda wote huo bila kumchakachua. Hebu tulia ujue kwanza sababu za mapozi ya huyo mwanamke, huenda analeta mapozi kwa kuwa haummegi. Mchakachue ili aache mapozi....
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Anaona unamyeyusha, mkapime kwanza mambo yakiwa safi mpe haki yake! Ukichelewa ndege ataruka! Make sure chozi linamtoka
 
Duh! JF kweli great thinker..unapata mawazo ya kujenga na kubomoa...At the end....+1 -1 = 4.....akili kichwani kwako kaka!
 
Unachekesha wewe? Dunia hii unangoja kuoa ndio uchakachue?
nahisi anakuisi your not functioning, pili kama ulivyo ambiwa huko juu kuna mtu anakugongea kwa siri
Daaaaa nakuonea huruma sana. nakushauri gonga
 
Hayo mapozi ni nyege! Na kwakuwa ni mtoto wa kike hawezi kusema. Inavyoonekana sasa ndio yupo kwenye "heat". Unatakiwa umgonge la sivyo atagongwa na wengine wakati wewe ukisubiri ndoa "spiritually!" Kwani alikwambia yeye ni bikra? Au wewe ndio bikra? Kama wote sio, mnasubiri nini?
 
Hahahaaaaa unamchelewesha kaona, wani kakwambia yeye ni bikira? kama sio na ameshawahi kumkalisha mwaka mwenzio sio fair, anashindwa tu kkwambia
 
Hakuna mapenzi ya kusubiri hvyooo wenzio wanamega kisela,na ww mega itazuwa maswali mengi hyoooo
 
Ulikuwa na sababu ya msingi sana ktk misingi ya dini ndio iliyokufanya uwache kufanya usheteni! Kama ulishajuwa kufanya hivyo (kudhini) ni makosa (dhambi) na ukajizuia sasa muoe ukamilishe malengo yako! Unataka ushauri gani? Unataka shetani akushauri kupitia JF uzini sio? Muogope muumba wako! Fanya lililo sahihi,
 
Mkuu nashukuru sana, ushauri wako unaendena na lengo langu la tangu awali.
 
Mkuu nashukuru sana, ushauri wako unaendena na lengo langu la tangu awali.

Ila sasa ungetuambia mapozi hayo a sasa ivi ni yepi hasa, manake kama umenote tabia sio za kawaida mfano heshima hakuna kivile ujue sasa kune mwenzio pembeni.
Kumchakachua bila utaratibuhaina maana sana cha muhimu, mwaka umepita, mweleze unataka kumwuoa usikilize atasemaje....short of that inaweza kuwa disaster kwako..mmepima afya?
 
Mapozi hasa yapo kwenye mawasiliano, sometimes she doesn't respond in time/ completely my messages/ calls as she used to. In short she tries to show that she's lost interest in me. Labda kinachochangia ni kwamba nafanya kazi zinazonifanya niwe mobile sana na hivyo sehemu kubwa ya mawasiliano yetu hutegemea zaidi tecknojia badala ya physical contact. Kuhusu kupima hatujapima kwa sababu hatujawahi kuingia kwenye sexual relationship
 
kumjua mtu tabia zake na kama mko compartible itakuwa ngumu kama mko mbali mbali kama ulivyosema,jaribu kutafuta muda wa kuwa karibu naye ili umsome kama anafaaa,ukijiridhisha kama anafaaa,mgusie jambo la kuoana....mkiwa wachumba rasmi unaweza anza ku sex naye....haina haraka mwaya wala usikimbilie saana kummega,kuku wako mwenyewe manati ya nini?lol
 
Back
Top Bottom