Recent content by nyangau

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi:mji kurindima na mabomu mchana huu

    :smile-big:
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada_wanawake wa kibena-iringa.

    kama ni mke hapo utakuwa umepata wa nguvu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kituo kizuri cha Stress Counseling Dar es salaam

    Nashukuru sana kwa kunijuza wapi nitapata huduma hii, nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu sana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Huyu Kalishwa Limbwata

    Hapo mbona hakuna tatizo, ni mambo ya kawaida tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lusinde kweli kichaka

    Tuachane naye huyu, nafikiri hajui wala hakumbuki hata alichokiongea. Kwa kweli amenishangaza sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mhasibu anamiliki billion 150 benki-Dira ya Mtanzania

    Watu bwana, kwa vile kazuia ulaji wao basi wanatafuta mahali pa kumchafua mtu. Hayawasubiri ili wapate majibu ya hicho walichokibeep
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

    Hongera sana Mkuu, Mungu awajalie na kuwapa maisha yenye furaha na amani na watoto wenu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi?

    Hapo ni njombe makambako
  9. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Premio-Nzuri sana

    ina cc ngapi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa nini wanafanya hivi?

    Huenda mwajiri wako hajazifikisha fomu zako ofisi za NHIF. Lakini zikishafika pale hata hazichukui muda unapata. Nami nilipata tatizo hilo nilipoenda ofisini kwao wakasema fomu zangu hazijafika ikabidi nitoke na mtu wa NHIF mpaka ofisini kwangu na kweli nikazikuta kule
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jk bwana huwa ananifurahisha sana na mambo yake...

    si afadhali kama hata hiyo itaisha, kama hali ni hii afadhali hata mwaka huu kabla haujaisha aondoke
  12. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    Huyu mama amechanganyikiwa anatakiwa akapimwe akili, Pia inabidi mheshemiwa anatakiwa kuangalia Uwezo wa kufikiiri kabla ya kuwateua wasidizi wake. Ndo maana mambo yanemwendea mrama.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi kupata PhD Chuo Kikuu Mzumbe

    Hongera sana Nchimbi
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    yeye india sie tutaenda wapi?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Je natimiza majukumu ya kuwa baba?

    ni jukumu moja tu ambalo hutimizi kwa mke wako, haki yake ya msingi
Back
Top Bottom