Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
wanamwandalia zitto mazingira ya 'kuchanganyikiwa' wakiihusisha hiyo hali na ugonjwa wake. Wameshasema kuwa hao wadudu wana uweezo wa kumwwondoa mtu ama kumpa kiharusi. Tungoje what's next
 
Pole sana ZITTO ZUBEIR KABWE,MUNGU yupo pamoja nawe,atakulinda na kukupigani na UTARUDI ktk hali yako ya kawaida.
 
Zitto hakupelekwa india kwa ajili ya kutibiwa malaria,hiyo matibabu yalianza toka majuzi. Msemaji wa muhimbili alisema anapata hiyo tiba kwanza then india kwa ajili ya uchunguzi zaidi kwani dalili zake hazikua za malaria pekee.
 
Habari kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ni kuwa Mh. Zitto Kabwe hivi sasa anaingizwa katika ndege kupelekwa india kwa matibabu zaidi.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mh. Zitto anaumwa malaria (vijidudu 150).
Maswali:
  1. Kama hospitali ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria, je inauwezo wa kutibu nini?
  2. Kama hata wagonjwa wa malaria wanaanza kupelekwa india kwa matibabu, watanzania wangapi watapelekwa?
  3. Kauri mbiu ya Malaria haikubaliki ni ya kweli? Ni ya watanzania au ni ya watu wa marekani?
  4. Mwisho, Uchumi wa Tanzania unajenga uchumi wa india kwa kiasi gani?
Basi Muhimbili ni Hosptali ya Rufaa (kupeleka India) kwa sababu haitibu badala yake inatoa rufaa tu.

Quality
Mkuu, pamoja na malaria, lakini Zitto ana matatizo mengine ya kiafya ambayo ndiyo yanampeleka India. Si vema kutaja magonjwa ya watu lakini ana tatizo la kichwa kumuuma sana (kupita kiasi), inatakiwa utaalamu wa juu kuchunguza kwa nini hilo hutokea. Amini, kinachompeleka si malaria, hiyo imeshatibiwa na kupona.
 
Madaktari wa India sasa inabidi wajiulize nini kipo tanzania na ni kwa nini viongozi wanamiminika kwenda Apolo utadhani wanakwenda Samunge?? Aibu kwa JK..Mimi ninadhani bora angeajiri Madokta bingwa toka india wafanye kazi hapa nchini na awape mshiko wenye hadhi maana itakuwa ni heri kuliko Gharama ya kumpeleka mgonjwa kule na mahitaji yote na kurudi...Mungu saidia taifa letu...Kenya na Al Shaabab - Tanzania na sick leaders.
 
Hivi Malaria ina "Uchunguzi zaidi"! Hapa nahisi Polonium tu ndiyo inayofanya kazi. CCM mtatumaliza.

Get well soon Hon. Zitto Zubery Kabwe.
 
Mie ninaombea hawa WANASIASA wa Tanzania wawe wanapewa ONE WAY TICKET kwenda India.

Nina imani kuna siku woote wataishia India maana huko ndiyo KIMBILIO lao. Hapo ndipo watatuachia nchi yetu salama salimini.

WHO'S NEXT TO INDIA..........????!!!???!!???

ME!!!!!!!
 
tatizo wanapigania maslahi ya wao kwa wao na c ya wananchi,, matatizo ya kila cku wameyaacha wanakomaa na maslahi ya wa2 binafsi , haya sasa mchezo umekuwa cy feya tena watamalizana wao kwa wao...
 
Tumwombe Mungu aingilie kati controversal affairs like this, GOD is Great!!!
 
yeah_alitakiwa akatae hata kama ni kufa anefia hapa nchini kama comrade gaddafi,...anyway hatujui kilicho nyuma ya pazia lakn.

Kama ni hivyo hata Nyerere hakuwa mzalendo kwanini asinge enda kutibiwa bugando ambapo ni karibu na butiama..?ila akakubali kwenda uingereza kutibiwa na kulingizia taifa hasara...!
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya radio free ya saa kumi ya alasiri ya leo,zito atapelekwa India kwa uchunguzi zaidi,ktk safari hiyo mh Zito ataambatana na muuguzi mmoja pamoja na mdogo wake.Kwa pamoja tuendelee kumuombea arejee salama akiwa na afya njema.

I have a prophetic word for Zitto: Niliendelea na maombi tangu jana kwaajili yake sijui niwangapi waliitikia wito wangu wa kuungana nami kwaajili ya maombi ya makubaliano ambayo niliya post humu kwenye hii thread!

Sasa basi majibu ya Mungu ni haya;

Mark 14:1-7 After two days was the feast of the passover, and of unleavened bread: and the chief priests and the scribes sought how they might take him by craft, and put him to death. [SUP]2[/SUP]But they said, Not on the feast day, lest there be an uproar of the people.
[SUP]3[/SUP]And being in Bethany in the house of Simon the leper, as he sat at meat, there came a woman having an alabaster box of ointment of spikenard very precious; and she brake the box, and poured it on his head.
[SUP]4 [/SUP]And there were some that had indignation within themselves, and said, Why was this waste of the ointment made?

[SUP]5[/SUP]For it might have been sold for more than three hundred pence, and have been given to the poor. And they murmured against her.
[SUP]6[/SUP]And Jesus said, Let her alone; why trouble ye her? she hath wrought a good work on me.
[SUP]7[/SUP]For ye have the poor with you always, and whensoever ye will ye may do them good: but me ye have not always.

This special miracle to you (healing) is because at one time in your life regardless of what you always do in reference to your belief; saved/helped poor and needy people of our country. God says you are healed and from now on utaanza kupata relief ya ajabu. Hilo likitokea usiache kutoa sadaka yako kwa Mungu yaani kuifanya kazi ya kusaidia wanyonge naye atakuonyesha mambo mengi makubwa na magumu usiyo ya jua.

Please some one take this mesage to him. Tell him relax your problem is already solved spiritually bado tu manifestation to the physical world.

Glory be to Jesus my Lord and saviour and to our God Jehova Jire; the God who heals Amen!

Some would say how comes Jesus heals the one who is not his; as humanbeing sisi turahisi sana kuangalia mambo kibinadamu/selfish lakini Mungu ni zaidi ya intent zetu wandamu!
 
Appollo.com, kabwe nenda ujeumani bana!! mfuko si unaruhusu, acha kuhusudu hela za magambaz
 
The base and foundation of true health resides from within, true and permanent health is never ever found outside there!!! Who doesn't see this?

The evidence that a person has lost the connection to the root of the natural health is the distance ..he travels...outside there ... trying to get the lost health. Inside dependence or rather Independence to the true health it should have been the criteria to elect our leaders.

If A leader cant depend on his inner health will always seek external health far far away ... AND I'm telling you .. for sure ..This traits of lucking INDEPENDENCE in health will also be true with the Finance, Education, natural immunity, all important aspects of community development and I must add the Threatening ... the real independence of the Nation!! ... Isn't this what is about happening?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom