Mhasibu anamiliki billion 150 benki-Dira ya Mtanzania

Sasa mtu ukisikia gap kati wenye nacho na wasio nacho ndo hii sasa kudadadeki.Bila gari la mizigo hubebi hizo hela
 
Mhasibu anamiliki 150B alafu anakataa kusema ujenzi wa jengo la serikali garamazake zikoje... inamaana hela za ujenzi zimeingia ktk account yake binafsi ama imekaaje???? "Au ni upepo tu utapita....
 
Tetesi zimeenea kwamba huyo mhasibu ametumia account moja wapo yenye jina Nicolina Paulo Mtatifikolo kama linavyoripoti Dira na tetesi zinaendelea kudadavua kwamba Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Tz kabla hajaolewa alikuwa anaitwa Nicolina Mtatifikolo, ila kwasasa majina hayo hayatumii tena kwasababu alibadilisha jina na kuitwa Mwanahidi Mtandah(tetesi zinadai Mmewe ni Muislam hivyo kabadirisha majina). Tuendelea kufuatilia tupate ukweli kama kweli Huyu (Mama) Mhasibu mkuu wa Serikali ndiye anaye husika.

Nicolina Mtatifikolo, wa kwanza kushoto kwenye hii picha.
Nicolina Mtatifikolo.jpg
 
Mie tangu nizaliwe sijazionapo pesa kama hizo,mbona watu wengine wanakufuru ya pesa ivi wanazipataje?
 
Watu bwana, kwa vile kazuia ulaji wao basi wanatafuta mahali pa kumchafua mtu. Hayawasubiri ili wapate majibu ya hicho walichokibeep
 
Huyo atakuwa mhasibu feki ambaye hajui kabisa matumizi ya fedha, nina wasi wasi kwanza kama atakuwa na hata hiyo elimu ya fedha, unaachaje hela zote hizo kwenye account?
Kweli ukiwa fisadi lazima utalaaniwa tu...!
 
Huyo mwana mama hiyo mijihela alikuwa kila mradi wa ujenzi lazima apewe chake mapema na waliopata tenda ya ujenzi:A S 20: sasa ni miradi mingapi ya ujenzi hapa Tz.Tafakari chukua hatua ..... Haki elimu
 
Nasikia anaporomosha kagorofa maeneo ya Iringa mjini apo! WanaJF wa uko mtakuwa mnakajua tuu! Naona anaiga kasumba ya hawa mamanager wa TRA ni mwendo wa kushusha hotel za magorofa zimejazana pale moro kama uyoga!
 
Benki ikuzuie wewe usieje mabilioni kisa ni mhasibu? Ungenambia fundi garage kweli! Kwani mhasibu ndo hawezi kuzimiliki hizo bilioni? Mnakua hizo pesa zipo benki tangu lini? Kwani nyie mnaona tena mtu akiwa mhasibu basi hawezi kiwa na biashara zake? Acheni uswahili! Bank haiwezi kabisa kutaka vielelezo vya wapi umepata hela zote izo iyo kitu ni PRIVACY! Kazi ya bank ni kukutunzia izo hela tu! Wewe unafikiri bank itaacha mteja mwenye manilioni hayo kwa kuhoji wapi anapata pesa!!!

Chilubi,

Naona tunajadili mambo mawili tifauti hapa, sijakataa kama mhasibu hawezi kumiliki hizo pesa ila ni kwamba kama ni pesa za kifisadi lazima benki ingefuatilia ndio kazi ya watu wa compliance kwenye mabenki kufanya KYC kuwafahamu wateja wao. Na iwapo benki watashindwa kuripoti kuna penalty kubwa sana kwenye sheria za money laundering kwa hiyo taasisi ya fedha na kwa mtu mmoja mmoja ambao walizembea. Hata kama ni biashara kubwa inayofahamika kama Bakhresa hawawezi kutuma bilioni 150 kutoka benki moja kwenda nyingine bila kuweka viambatanisho vya kuonesha hizo pesa ni kitu gani.

Nijibu swali lako kuhusu "PRIVACY" kwenye benki hamna privacy, kama unataka privacy weka pesa zako nyumbani. Benki ina uwezo wa kutoa information zako kwa BOT, PCCB, Polisi, Mahakama, Credit reference bureau etc. Next time ukienda benki kufungua akaunti usiwe mwepesi wa kusaini tu na kuondoka usome kwa umakini maandishi madogo madogo na ile TBA form is there for a reason.
 
Nimechukua jukumu la kufuatilia kwa karibu kujua ni mhasibu gani pale Hazina anaweza kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kiasi kile. Habari zilizopo ni kwamba inasemekana mlengwa ni Mhasibu Mkuu wa Serikali anadaiwa amekuwa akichota pesa nyingi kwa njia ndogondogo lakini nyingi sana ikiwemo kuwalazimisha watu waliochini yake kumuweka(yeye) katika malipo ya posho kwa kila shughuli inayofanyika pale ofisini na amekuwa akilipwa kwa kila shughuli maalumu kama msimamizi mkuu wa shughuli bila kujali yupo ofisini, yupo nje ya nchi au yupo likizo.

Inasemekana viposho mbalimbali anavyolipwa kwa mwezi kutokana na shughuli za pale ofisini kwake zimekuwa zinamuingizia zaidi ya milioni80 kwa mwezi inadaiwa kwamba proposal yeyote ya kazi isiyo onyesha posho yake itakuwa bei gani haiwezi ikapita kirahisi. Inasemekana hilo siyo suala linalowakera sana kinachowakera sana ni kile kitendo cha kuwabana sana kimaslahi watu walio chini yake na kuwafanyia roho mbaya mbaya zisizo na mbele wala nyuma, "imefikia
mahala utasikia Mhasibu mkuu wa Serikali ana mgogoro na mtu mdogo kama secretary au dereva fulani na kamhamisha kituo cha kazi na kufuatilia aliko mhamishia kama anapata taabu kama alivyokusudia au lah, shughuli ambayo kimsingi hatakiwi kuisimamia mtu wa hadhi yake".

Taarifa zinaendelea zaidi kwamba kutokana na kwamba mkataba wake wa kazi karibia utaisha ameongeza ukali(orally) kwa watu wanaomuwekea viwango vidogo vya posho kwa kisingizio cha ufinyu wa bajeti kwa kila shughuli hivyo inahisiwa ana mabilioni ya Shiringi katika akaunti yake ambayo watu wa chini yake wanaweza wakawa wametoa hii chokochoko ili Serikali imchunguze na iangalie vyanzo vyake iweze kubaini posho anazo saini hata akiwa likizo, na vishughuli mbalimbali anazozianzisha ilimradi tuu yeye apate pesa. Kuna taarifa pia kwamba kwamba kaanzisha viproject vingi sana vya ujenzi lakini vina maslahi yake kama vile ukarabati wa kisehemu kidogo cha kukaa wastaafu wakisubiri huduma, inadaiwa kimeghalimu Milioni58 na hiyo kazi imefanywa nayeye akishirikiana na mtu wake wa karibu sana (Afsa utumishi) bila kuwa shirikisha watu wa ugavi, kuna mtu anaifanyia finishing hii kashfa ataileta hapa jamvini soon.

Asante sana Mkuu kwa hili. Ongezea pia fedha za hongo na cha juu anachoweka kwa ujenzi wa hazina ndogo huko mikoani. Kwa mfano ile ya dodoma ujenzi wake bado kabisa but mabilioni ya pesa kashakula huku akiwaambia wakandarasi wa claim extra payment za kazi extra bush kabisa na anazipitisha. Ana roho mbaya sana. Sasa mwisho wake unatimia!!!
 
watu kama hawa ni wakupiga risasi kabisa, with no exception, yaaaani aghhhhhr :angry:
 
Hii habari inaonyesha kuna watu wanachuki na huyu mama: bilioni mhasibu aiache bank akili zake siyo nzuri? Huu ni uzushi mkubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom