Jk bwana huwa ananifurahisha sana na mambo yake...

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
jk na maubwabwa.jpg

daaah JK huyo anakagua mpaka ubwabwa wanaopikiwa walioathirika na mafuriko ...kazi ipo rais wangu
 
Tatizo lake akuja naenda kufanya nini kwa waathilika wa mafuriko.
Pia na waliokuwa wanamuongoza alitaka kujionyesha kuwa wameandaa chakula.
 
attachment.php

Naomba nieleweke kuwa sikumchagua Kikwete
attachment.php

hivi wale wa mabomu ya Gongo la mboto na mbagala walisha fidiwa na serikali......
 
Msikivu kwenye nini...kama ukiniambia kwenye dili za kifisadi hapo nikuunga mkono, watanzania tuombe mungu hii miaka minne ishe salama tuondokane na balaa hili...

si afadhali kama hata hiyo itaisha, kama hali ni hii afadhali hata mwaka huu kabla haujaisha aondoke
 
Back
Top Bottom