Recent content by noniny

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sokoine University Of Agriculture.

    Mim nimemaliza 2013 SUA. wala usiogope ni kawaida tu. Ukifika uko ukaze katika kusoma.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lawahoji na kuwashikilia wasanii wa Orijino Komedi

    Mbona hawa jamaa ling time walikua wanavaa haya magwanda? Walikua hawawaoni.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

    Tunahitaji ushahidi kutoka kwao. Sio kuskia kwa alieskia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

    Mim niko zanzibar bado sjauona
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

    Mimi bado sjapata taarifa. Nikipata nitaziweka
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ndege yenye maadili ya Kiislaam yapigwa marufuku Malaysia.

    Fikiria kabla kunena. Kauli yako ni nzito sana. Ukisema mambo ya dini dini unamaanisha nini?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijapata kazi, mimi ni Food technologist

    Jaribu tu kuomba utapata inshaAllah. Wote walioajiriwa walikua kama wewe. Pia onana na watu mbali mbali wakubwa walokuzidi wakushauri.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

    Bado damu yako mbichi sana mtoa mada. Basi endelea tu kubadilisha vimada. Kugegeda . Kufunga ndoa za mikataba. Umri ukienda kidogo utakaa chini ujitafakari upya wapi unakwena na umepata faida gani kwa uliyofanya
  9. N

    JamiiForums Tanzania I'm too lazy to be a housewife

    Mimi ninae life partner na anafurahia ninavyomkontrol, kama sijamkontrol huwa hajiskii. Kazi kwenu msiopenda kukontroliwa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania I'm too lazy to be a housewife

    Kwa mujibu wa maelezo yako, wewe hata zile siku ambazo huendi popote basi hutaki kufanya kazi za nyumbani. Wala hupendi mambo ya kujishughulisha na family Hivyo ndivyo nilivyokuelewa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania I'm too lazy to be a housewife

    Ni ngumu kwako tu dada. Wenzio ndo wanapendelea hivyo. Umekula hasara kama umekosa mume wa kukucontrol
  12. N

    JamiiForums Tanzania I'm too lazy to be a housewife

    Sasa kama huwez japo kupika chakula chako mwenyew. Kuna nin utaweza? Mim napika mwenyew na kazi zote mwenyew. Na naenjoy sana. Piga vita uvivu ndugu yangu. Uvivu ni ndugu yake umaskini. NB: ONDOA UVIVU ONDOA UMASKINI
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu manzi nimwambie maneno gani ya kumuacha ili asijisikie vibaya

    Mwanamme haogopi majukumu. Hayo ndo maisha. Sasa umuache ili iwe nini? ukishamuacha huyo utakae mpata mwengine hatakua na wategemezi? Hata kama hatokuwa na wategemezi, atakupenda kama anavyokuoenda huyu wa sasa? Tumia akili tu na tafakari. Usifuate mkumbo. Fanya umuoe ili upate baraka kenye...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Hata kama wapo. Idadi yao unaijua ni wangapi wenye roho mbaya? Usikatae kua Wapo ambao wana roho nzuri pia mkuu.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Hivi nyie muna evidence yoyote na mnachoongea? Au ni mawazo yenu tu. Hebu naomba basi kama kuna data au research naomba, inayofafanua kua waarabu wote au watu weupe wanadharau kuliko weusi.
Back
Top Bottom