Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,376
1,479
Kama una taarifa za uhakika ziweke hapa..

========

Updates;

Taarifa ambayo imetolewa na Mufti Mkuu wa Tanzania Zubeir Bin Ally muda mfupi uliopita ni uthibitisho wa sikukuu ya Eid ul Fitr ambapo Waislam wote walikua wakisubiri kuandama kwa mwezi.

Kwenye taarifa yake Muft Zubeir amesema Mwezi huo umeonekana sehemu mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania.

Amewaomba pia waislam kujitokeza kwenye misikiti mbalimbali kwa ajili ya ibada ya Eid ul Fitr.

EID.jpg
 
hizi habari za mtwara najaribu kutafuta ukweli bado sijathibitisha
 
Back
Top Bottom