I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

sina mpango wa kumfunda mwanamke yeyote yule. na mengi niliyofundishwa ndo kama hivyo nimekayakataa.

utamudi wetu HAUNIVUTII. upotee tu.
halafu unaongelea tamaduni wakati zama zimebsdilika hizi...
[emoji28] [emoji28] [emoji28] eti upotee umevurugwa wewe...nna zawadi yako wewe na rubii au hamtakii..lol
 
Nimecheka sana, yaani ninavyopenda kupika na kujua kupika vile! alafu tunaoana unaanza kupiga chenga na visingizio kibao ukiona dalili ya kupika?
tukioana hopefully tunafanya kazi mbalimbali so hatuwezi kupitiana. Nitakuwa narudi ukishaivisha.
 
ebo!

Jestina Yale uliyokuwa unasema.

kwahiyo we ulioa upate Mtu wa kumcontrol??

wengine tunataka rafiki na life partner. hata mawazo ya watoto hayapo. sasa Mtu aanze kuongelea habari "kichwa" ...ni kutoka nduki tu
Mimi ninae life partner na anafurahia ninavyomkontrol, kama sijamkontrol huwa hajiskii.
Kazi kwenu msiopenda kukontroliwa.
 
tukioana hopefully tunafanya kazi mbalimbali so hatuwezi kupitiana. Nitakuwa narudi ukishaivisha.

Ila niseme kweli, hapa mie naona ni malezi wala siyo Hobby..mie nakumbuka nikiwa shule naishi na kakangu tulikua na dada wa nyumbani lakini kaka alimpeleka kozi ya ufundi, sisi tulipangiwa ratiba pale nyumbani ya kufanya kazi za kupika,kuosha vyombo,kudeki nyumba,kufuta vumbi, kupanga meza kila weekend.

Yeye na mkewe wao walikua kwenye zamu ya pamoja ya kufanya shughuli zote siku yao ikifika, kwahiyo tulipenda kazi na kushindana kupika vizuri, kuandaa meza na kukaribisha watu chakula ili upate zawadi siku kaka akisafiri nje ya nchi.
 
halafu Brenda una zawadi zangu nyingi sana. siku unanipa nategemea kontena lijae!
hahaha tulipe ile ya kwanza mwezi huu alafu hii ya pili mwezi ujao...au nisubiri siku ya kitchen party yako nishushe tu kontena[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dada'angu housegirl unaonekana bado upo kwenye 20/22yrs,umemaliza chuo umepata kaajira somewhere na bado upo nyumbani kwa baba yako mawazo ya kuanzisha thread hii yamekujia ukiwa umeshakula dinner na umejilaza kwenye kitanda cha fut4 alichonunua mzee ulalie tangu ungali mdogo huku mkononi umejishikia Techno yako ya laki na nusu basi wewe waona rahaa maisha umeyamaliza..ila utakapofika 30 to 35 utatamani urudi hapa kuanzisha mada za kutafuta mume,mara amenizalisha kanitelekeza,mara uso wangu una makunyanzi nitumie lotion gani..kumbe stress zinakuwa zimeshaanza kukuzeesha.maisha ni zaidi ya kazi,ni zaidi ya majivuno ni zaidi ya urembo ni zaidi ya every thing...omba Mungu kwa imani unayoamini yeye ndiye akupangie maisha yako sio upange wewe.na nyuzi zako hizi naamini na sina shaka ndicho unachokiishi kiuhalisia.
 
Wanawake wa siku hizi mna uvivu hadi basi
kufua kuna mashine siku hizi
kupasha moto chakula kuna microwave
kuosha vyombo kuna mashine pia na housegirls..
kupika ni gesi au umeme
kupiga deki hamuinami mnatumia mop

lakini mna complain kuliko mama zenu ambao wao hata kupasha chakula walilazimika
kuwasha moto upya achilia mbali kutwanga mahindi kwa kinu
Aliyeondoa JKT kwa mujibu wa sheria kaua kizazi cha sasa. Huyo angepita JKT asingesema maneno kama haya. Wavivu wa aina yake walibadilika baada ya kutoka JKT. Najua ni issue za budget lakini JKT ingebidi irudishwe !
 
Kudos to all housewives.

hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?

nimepima weeee pamegoma kabisa.

kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.

na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.

Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.

mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!

Inabidi uende JKT. Ukitoka huko, story yako itabadilika!
 
Ila niseme kweli, hapa mie naona ni malezi wala siyo Hobby..mie nakumbuka nikiwa shule naishi na kakangu tulikua na dada wa nyumbani lakini kaka alimpeleka kozi ya ufundi, sisi tulipangiwa ratiba pale nyumbani ya kufanya kazi za kupika,kuosha vyombo,kudeki nyumba,kufuta vumbi, kupanga meza kila weekend.

Yeye na mkewe wao walikua kwenye zamu ya pamoja ya kufanya shughuli zote siku yao ikifika, kwahiyo tulipenda kazi na kushindana kupika vizuri, kuandaa meza na kukaribisha watu chakula ili upate zawadi siku kaka akisafiri nje ya nchi.
kweli kabisa.
wengi ni mazoea.

hata mama ananiambiaga"we unaongea tu lakini ni mchapa kazi kama mimi" .

I'm like muum usiforce, ndo nimelelewa hivi. but I hate.

kaka zangu hata chumba mama ndo anawasafishia halafu siku from nowhere anawaambia wasafishe wenyewe. wanajivuuuuta. wanalipuuua. baade mama anasema ni wanaume hawawezi usafi wakati ndo kawazoesha.

inatia na hasira. mfyuu
 
hahaha tulipe ile ya kwanza mwezi huu alafu hii ya pili mwezi ujao...au nisubiri siku ya kitchen party yako nishushe tu kontena[emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahaha umenikumbusha Jana naangalia chereko na mama. bonge moja la kitchen party. kila kitu kimeletwa ukumbini. kitanda. kabati. hadi dining table wakakalia kabisa. mama akasema "hii kitchen party au house party?"

mweee tukisubiria kitchen party yangu manake ndo sipati hizo Zawadi embu nipege...

lol
 
Sasa si wewe housegirl upo kufanya kazi zote na inaonyesha unapenda wadhifa wako hutaki kupandishwa cheo cha house wife
 
Dada'angu housegirl unaonekana bado upo kwenye 20/22yrs,umemaliza chuo umepata kaajira somewhere na bado upo nyumbani kwa baba yako mawazo ya kuanzisha thread hii yamekujia ukiwa umeshakula dinner na umejilaza kwenye kitanda cha fut4 alichonunua mzee ulalie tangu ungali mdogo huku mkononi umejishikia Techno yako ya laki na nusu basi wewe waona rahaa maisha umeyamaliza..ila utakapofika 30 to 35 utatamani urudi hapa kuanzisha mada za kutafuta mume,mara amenizalisha kanitelekeza,mara uso wangu una makunyanzi nitumie lotion gani..kumbe stress zinakuwa zimeshaanza kukuzeesha.maisha ni zaidi ya kazi,ni zaidi ya majivuno ni zaidi ya urembo ni zaidi ya every thing...omba Mungu kwa imani unayoamini yeye ndiye akupangie maisha yako sio upange wewe.na nyuzi zako hizi naamini na sina shaka ndicho unachokiishi kiuhalisia.
kwa ufupi unasema nitakosa mume na kujawa na stress kisa sipendi kazi za nyumbani?

get real now!!

na wewe unaonekana dunia yako imeishia bongo tu...
 
dahh zinachosha sana hasa ukutane na mwanaume mwenye mfumo dume. ukitoka kazini majukum mia kidogo yanakusubir.... bt ndo wajibu hakuna jinsi km unahitaji familia la cvyo zaa uwe cngle maza.
 
kweli kabisa.
wengi ni mazoea.

hata mama ananiambiaga"we unaongea tu lakini ni mchapa kazi kama mimi" .

I'm like muum usiforce, ndo nimelelewa hivi. but I hate.

kaka zangu hata chumba mama ndo anawasafishia halafu siku from nowhere anawaambia wasafishe wenyewe. wanajivuuuuta. wanalipuuua. baade mama anasema ni wanaume hawawezi usafi wakati ndo kawazoesha.

inatia na hasira. mfyuu

Sasa ninaona dalili ya wewe kumlea mwanao hivyo, kweli wazazi wangu walitulea kupenda kazi. Nilienda jkt wala sikupata shida ya kufungua moyo ili kuendana na kasi na uepesi wa maafande.
 
Aliyeondoa JKT kwa mujibu wa sheria kaua kizazi cha sasa. Huyo angepita JKT asingesema maneno kama haya. Wavivu wa aina yake walibadilika baada ya kutoka JKT. Najua ni issue za budget lakini JKT ingebidi irudishwe !
mimi nimelelewa kama the typical African girl. I cook. I clean. I do it good. kuna Mtu huko kasema eti siko sharp. NAPIGA KAZI KAMA MBWA MWENZENU.

but do I intend to live like this forever? am I used to this kisa it's how I've been living all my life?

no. . labda ndo UVIVU. au ndo hivyo not every lifestyle is for everyone. mbona kuna mijanaume hapa inaona kusugua sufuri nooongwa, wakati kwingine mwanaume Benet na mwanamke kwenye kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom