I'm too lazy to be a housewife

I'm too lazy to be a housewife

Sasa kama huwez japo kupika chakula chako mwenyew. Kuna nin utaweza? Mim napika mwenyew na kazi zote mwenyew. Na naenjoy sana.
Piga vita uvivu ndugu yangu. Uvivu ni ndugu yake umaskini.
NB: ONDOA UVIVU ONDOA UMASKINI
uvivu kwani nashinda nyumbani!!

naamka Saa kumi na nusu kila siku. kufika nyumbani jioni.

kama naonekana bado mvivu basi bora niitwe mvivu tu
 
Wanaume generaly wanapenda kuabudiwa,kujiskia wako na say nyumbani ndio maana wanaoa kijijini wengine just kumaksure anamcontrol mkewe na wengine kuogopa challenge za mwanamke 'msomi'....its man' s ego............basi atataka akuendeshe kijeshi ,ufue upike bado anataka usiku akusumbue ngumu sana....
Ni ngumu kwako tu dada. Wenzio ndo wanapendelea hivyo. Umekula hasara kama umekosa mume wa kukucontrol
 
uvivu kwani nashinda nyumbani!!

naamka Saa kumi na nusu kila siku. kufika nyumbani jioni.

kama naonekana bado mvivu basi bora niitwe mvivu tu
Kwa mujibu wa maelezo yako, wewe hata zile siku ambazo huendi popote basi hutaki kufanya kazi za nyumbani. Wala hupendi mambo ya kujishughulisha na family
Hivyo ndivyo nilivyokuelewa.
 
. Umekula hasara kama umekosa mume wa kukucontrol
ebo!

Jestina Yale uliyokuwa unasema.

kwahiyo we ulioa upate Mtu wa kumcontrol??

wengine tunataka rafiki na life partner. hata mawazo ya watoto hayapo. sasa Mtu aanze kuongelea habari "kichwa" ...ni kutoka nduki tu
 
kumbe mahousewife wanakaaga tu hawana kazi eeeeh????
uvivu kwani nashinda nyumbani!!

naamka Saa kumi na nusu kila siku. kufika nyumbani jioni.

kama naonekana bado mvivu basi bora niitwe mvivu tu
Basi unaemzungumzia hapa sio housewife, kama unaenda kazini na kurudi kama mumeo hio inaeleweka na hamna atakaekushangaa sana ukisema unachoka.

/ˈhaʊsˌwaɪf/
noun (pl) -wives
1.
a woman, typically a married woman, who keeps house, usually without having paid employment
 
Kwa mujibu wa maelezo yako, wewe hata zile siku ambazo huendi popote basi hutaki kufanya kazi za nyumbani. Wala hupendi mambo ya kujishughulisha na family
Hivyo ndivyo nilivyokuelewa.
kweli.

MIMI NI MVIVU.

Ni kutafuta pesa tu inilee na uvivu wangu.
 
Kudos to all housewives.

hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?

nimepima weeee pamegoma kabisa.

kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.

na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.

Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.

mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!
Hili ni janga kweli kweli.......hivi siku hizi ndiyo mambo mnayofundishana kwenye KITCHEN PARTY... hakuna haja za KITCHEN PARTY ni ujinga na kuharibika tu, kama ndo utamaduni wetu wa tanzania basi tume-fail
 
Basi unaemzungumzia hapa sio housewife, kama unaenda kazini na kurudi kama mumeo hio inaeleweka na hamna atakaekushangaa sana ukisema unachoka.

/ˈhaʊsˌwaɪf/
noun (pl) -wives
1.
a woman, typically a married woman, who keeps house, usually without having paid employment
I don't get you!

nimesema I'm too lazy to be a housewife because its a lot of work!
 
Wanaume generaly wanapenda kuabudiwa,kujiskia wako na say nyumbani ndio maana wanaoa kijijini wengine just kumaksure anamcontrol mkewe na wengine kuogopa challenge za mwanamke 'msomi'....its man' s ego............basi atataka akuendeshe kijeshi ,ufue upike bado anataka usiku akusumbue ngumu sana....
hiyo ni nature hadi Mwenyenzi Mungu analijua hilo.
 
my mom always cooked for us and was always busy with House chores on weekends hata ukienda kumuongelesha unaona unamchosha. kwanza nilikuwa naona bora asipike amwachie dada manake itabidi nimsaidie

umama ni nini kwako?

kujipinda kumfulia na kumpikia mtoto?

how about ujipinde kuspend naye!

kupikiwa chakula na umpendaye is vizuri sana. so I'll cook once in a while and expect that from the man too.
wewe ni mwanamke na sifa ya umama hauna.
 
funny because kuna kipindi nilibaki na baba peke yake nyumbani nikaona nateseka kweli nikaishia zangu hostel.

KUPIKA KAZI HATA KUPIKIA WATU WAWILI. unless ndo ndo wale wanapikia waume zao wali na supu ya nyama haijaungwa.

kweli sio hobby yangu.

Nimecheka sana, yaani ninavyopenda kupika na kujua kupika vile! alafu tunaoana unaanza kupiga chenga na visingizio kibao ukiona dalili ya kupika?
 
Hili ni janga kweli kweli.......hivi siku hizi ndiyo mambo mnayofundishana kwenye KITCHEN PARTY... hakuna haja za KITCHEN PARTY ni ujinga na kuharibika tu, kama ndo utamaduni wetu wa tanzania basi tume-fail
sina mpango wa kumfunda mwanamke yeyote yule. na mengi niliyofundishwa ndo kama hivyo nimekayakataa.

utamudi wetu HAUNIVUTII. upotee tu.
halafu unaongelea tamaduni wakati zama zimebsdilika hizi...
 
Back
Top Bottom