Mpaka sasa sijapata kazi, mimi ni Food technologist

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu!

Nilitoaga tangazo hapa, kuwa mimi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado kimya naombeni msaada wenu jamani nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile nakufa na njaa hapa mtaani nipo Dar es salaam. Mawasiliano 0758 106 501 napatikana (24hrs).
 
Kumbe ni wa mwaka jana tu? Nakushauri hangaika hangaika kwanza halafu ukiona mambo ni magumu ndo utufahamishe. Unatakiwa kutafuta kazi kwa muda wa angalau miaka mitatu.......

Haa haa haaaaa....... Natania mkuu.

Mimi kwa kuangalia profession yako nakuona kama kujiajiri ni rahisi na nzuri zaidi kwako. Angalia namna ya kubuni project na kuifanya ili iwe ajira yako na uajiri wenzako na wale wa chini yako. Elimu yako na fani yako ni madini ya thamani sana.
 
Habari zenu wakuu!

Nilitoaga tangazo hapa, kuwa mimi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado kimya naombeni msaada wenu jamani nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile nakufa na njaa hapa mtaani nipo Dar es salaam. Mawasiliano 0758 106 501 napatikana (24hrs).
Mwaka mmoja bado si kitu kwenye kusubiri ajira hasa kwa fani yako.. Mi nakushauri ufikirie tu kujiajiri kwanza kwa namna yeyote ile, huko unakokutamani kuna watu wanakukimbia sasa na ukizingatia utawala wa rais wa awamu hii inakoelekea kuajiriwa ni kama kukimbilia umaskini
 
mkuu hujapata kazi bado unalialia kuwa mjasiriamali aseh mjasiriali wa kweel ni yule ambae practicalLy start from nothing anza kuona fursa sasa acha kujiona wew degree holder huwez uza hata matunda, nyanya au mbogamboga sokoni fanya biashara yoyote utatoka tu mwanzo huwa mgumu sana ila ukianza mambo yatakuwa marahisi sana, elimu inawafanya watu kuwa too much analytical kitu ambacho ni kibaya sana too much analysis lead to paralysis bro wake up ts too early now.DO IT
 
Habari zenu wakuu!

Nilitoaga tangazo hapa, kuwa mimi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado kimya naombeni msaada wenu jamani nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile nakufa na njaa hapa mtaani nipo Dar es salaam. Mawasiliano 0758 106 501 napatikana (24hrs).
Watu wa food scince and trchnology mnafanya shughuli gani hasa?
 
Kuna aliyeweka tangazo hapo juu 'job vacancies' mijawapo ni food technician
 
Acha kulia lia mwaka mmoja mbona chamtoto sana!, hicho ni kilio cha mtu aliyeishia darasa la 7 au form four. Ni aibu bachelor inalia lia, tafuta kazi acha kushinda fb/whatsup etc ukiwa unachat. Kazi zipo nyingi sana, tafuta kazi usisubiri kutafutiwa umekua mtu mzima ki ELIMU.

kazi mojawapo hiii hapa chini na utume kabla ya tarehe 15 may 2016;

Tuma kwenda;
Mnaging Director,
Kibaigwa International maize market Square,
Dodoma_Tanzania.

positions;
a, Production Manager
b. Accountants
c. Sales & marketing officers
d.Food Lab technician
e. Procurement Officer
f. Food Quality controllers

Maombi yatumwe na kuambatànisha wasifu (Cv),Nakala za vyeti, Diplomas au degrees za Mwombaji. Maombi yote (in English) yatumwe kwa email : info@kfs.co.tz. na c.c: kongwafood@gmail.com kabla ya tarehe15.05.2016: watakaokuwa shortlisted wataarifiwa kwa simu na emails zao kwa usaili 18/05/2016 @ Kibaigwa International Maize Market Square. Please these posts are reserved for serious applicants and not chancers!

Contacts: Managing Director,
Cell: 0765 433 132, +255 762 939 363

Nakutakia kila raheli!!!!!
 
Habari zenu wakuu!

Nilitoaga tangazo hapa, kuwa mimi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka jana (2015). Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado kimya naombeni msaada wenu jamani nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile nakufa na njaa hapa mtaani nipo Dar es salaam. Mawasiliano 0758 106 501 napatikana (24hrs).

Added on 04.05.2016
Category agronomy /agriculture, Manufacturing, NGO, Quality Assurance
Countries Tanzania
Cities Mbeya
Level Middle Senior
Contract type Contract
Main Responsibilities

An INGO is looking for a Food Technologist, whose responsibilities will include:

  • Identification of local food processors for engagement including site visits to collect the necessary technical information to make an informed decision.
  • Conduct quality assessment and participate in business assessment to identify priority needs and potential opportunities for quick win support.
  • Provide direct on-the-ground support and guidance as appropriate to SGBs on issues such as quality control, safety and hygiene, raw material supply, standards and regulations, production processes.
  • Active support of the technology transfer model including working with the selected processors to assess needs, charter appropriate projects, and thereafter act as the bridge between PFS and the processors in the life of the specific projects.
  • Training & Studies: Support organization and coordination of sector-wide training workshops that address any identified technology or knowledge gaps in the food processing sector in Tanzania
  • Monitoring and Evaluation: Support data collection, analysis and reporting to track progress of the overall intervention
Qualifications
Requirements
  • B.Sc. in Food Technology or equivalent experience in food technology and /or food nutrition. Master’s degree preferred.
  • Strong knowledge in quality management systems like GMP and HACCP
IT Skills
Experience
  • At least 5 years working experience in food processing, preferably with at least 2 in the private sector
  • Proven track record in providing technical solutions to food processors.
Advertisment:
Back to joblist
If you want to apply for this position you have to be logged in
SOURCE RADAR RECRUITMENT
 
Jaribu tu kuomba utapata inshaAllah. Wote walioajiriwa walikua kama wewe.
Pia onana na watu mbali mbali wakubwa walokuzidi wakushauri.
 
KIBAIGWA Kazi inakusubiri wahi Ku apply na anza kupiga simu dogo umetoka!!
 
Acha kulia lia mwaka mmoja mbona chamtoto sana!, hicho ni kilio cha mtu aliyeishia darasa la 7 au form four. Ni aibu bachelor inalia lia, tafuta kazi acha kushinda fb/whatsup etc ukiwa unachat. Kazi zipo nyingi sana, tafuta kazi usisubiri kutafutiwa umekua mtu mzima ki ELIMU.

kazi mojawapo hiii hapa chini na utume kabla ya tarehe 15 may 2016;

Tuma kwenda;
Mnaging Director,
Kibaigwa International maize market Square,
Dodoma_Tanzania.

positions;
a, Production Manager
b. Accountants
c. Sales & marketing officers
d.Food Lab technician
e. Procurement Officer
f. Food Quality controllers

Maombi yatumwe na kuambatànisha wasifu (Cv),Nakala za vyeti, Diplomas au degrees za Mwombaji. Maombi yote (in English) yatumwe kwa email : info@kfs.co.tz. na c.c: kongwafood@gmail.com kabla ya tarehe15.05.2016: watakaokuwa shortlisted wataarifiwa kwa simu na emails zao kwa usaili 18/05/2016 @ Kibaigwa International Maize Market Square. Please these posts are reserved for serious applicants and not chancers!

Contacts: Managing Director,
Cell: 0765 433 132, +255 762 939 363

Nakutakia kila raheli!!!!!
Ahsante sana mkuu, Good luck!
 
Juzi mwamedi katangaza kazi za eneo lako nahisi deadline ishaisha au kukaribia kwan hukuziona wew, au huna laptop wala smartphone wala internet cafe hakuna mpaka usafiri kwenda mbali wala magazeti husomi. Maviwanda ya vyakula na vinywaji yapo, au we wa mkoani?
Kama vipi Jaribu kuvolunteer.
 
Back
Top Bottom