Poor reasons poor evidences, poor you. Tafuta vitu vya ku criticize Vya level flani ya chini kabisa.
Wenzako wanakuambia dunia ni duara kwasababu wameshasimama hadi kwenye mwezi Na kuiona dunia kama wewe unavyoona mwezi..
Usikate kuna watu wameolewa Na miaka 47, we mtoto mdogo unalalamika. Kuwa mwaminifu mbele za Mungu so kwa mwanadamu. Usiwaonee wivu wenzako shetani atakushikilia hapo.
Ushawahi kwenda kwa hoteli kunywa chai na chapati na uko na 1000 tu
Kidogo ukaanza kunywa unaona 1000 ingine chini unaikanyaga unaagiza tena chai na chapati
Ukamaliza ukaenda kulipa kumbe ile 1000 uliokota ni yako ilikuwa imeanguka
Shuleni sisi hatuwafundishi kujiajiri, tunawafundisha history kiswahili, civics, geography etcetera... Kibaya masomo ya kilimo na biashara yalifutwagwa shule za sec... Sera ya elimu ya Tz ni mbovuuuuuuuu
Ng'ombe wa ccm bana, acha ung'ombe wewee, hii nchi siyo ya rais ni ya watanzania na hakuna aliye juu ya sheria rais akiongea upupu inabidi aambiwe kaongea upupu..
Kama unasafiri tokea Arusha kuelekea dar, kokote utakapokula utagundua chakula kimepanda kwa buku soda kwa jero... Ni kwasababu hiyo buku na hiyo jero ni vat. Sasa asikudanganye mtu kwamba wafanyabihashara watagawana faida yao na serikali. Wafanyabihashara ni mawakala tu wa serikali katika...
Pole mwaya, sisi wanaume huwa Mungu katuumba na tamaa, usikubali kuwa mbali na mwanaume wako hata kama ni baba mchungaji. Ni very rare kukutana na mwanaume anayeweza kuhimili kukaa mbali na Mpenzi wake bila kuchepuka. Ni 1/7000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.