Wikileaks wapata Shambulio la kimtandao baada ya kutaka kutoa ukweli kilichotokea Uturuki

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
2,000
Mtandao maalufu wa wikileaks chini ya Julian Assange wanadai wamekumbwa na shambulio kubwa la kimkakati la kimtandao baada ya kudai wanajiandaa kutoa rundo la data zinaozoonyesha Jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita lilipangwa. Na kudai wanamalaki ya emails na documents zinazoonyesha siasa iliyo nyuma ya tukio hilo lililo ghalimu maelfu ya damu za raia na wanajeshi.
================================

WikiLeaks reported suffering a “sustained attack” after it announced the upcoming release of hundreds of thousands of documents relating to Turkish leader Recep Tayyip Erdogan’s Justice and Development Party (AKP) in the wake of a failed military coup.

“Our infrastructure is under sustained attack,” WikiLeaks said on Twitter. “We are unsure of the true origin of the attack. The timing suggests a Turkish state power faction or its allies.”

Despite the attack, the famous whistleblowing site promised to “prevail & publish” the first batch of documents on Tuesday. Earlier WikiLeaks announced that the release of documents, which could expose the Turkish “political power structure”, will contain 300,000 emails and 500,000 documents.

Prior to the scheduled release, WikiLeaks warned the public that the Turkish government will likely do its best to prevent the information from being released or reaching the Turkish public.

“Turks will likely be censored to prevent them reading our pending release of 100k+ docs on politics leading up to the coup,” the organization said on Twitter.

The non-profit organization also asked the public to support their endeavor for sharing the information.

“We ask that Turks are ready with censorship bypassing systems such as TorBrowser and uTorrent. And that everyone else is ready to help them bypass censorship and push our links through the censorship to come.”

Following the unsuccessful military coup attempt in which at least 208 people were killed and more than 1,400 wounded, Erdogan went on to blame former ally and now arch enemy Fethullah Gulen, for trying to overthrow him.

Turkey is also mulling the reintroduction of death penalty to punish those responsible for the armed rebellion attempt, as the government and military structures continue to be purged by the ruling elite.

Erdogan called the failed military coup a “clear crime of treason,” in an interview with CNN. “The people now have the idea, after so many terrorist incidents, that these terrorists should be killed, that’s where they are, they don't see any other outcome to it.”

More than 7,500 suspects had been detained in connection with the coup attempt, prime Minister Binali Yildirim said on Monday. In addition, some 8,000 police officers had been removed from their posts, a senior security official told Reuters.

At the same time Turkish authorities promptly suspended some 3,000 judges and prosecutors, arresting at least 775 of them. Johannes Hahn, the EU commissioner dealing with Turkey’s EU membership bid, said the alacrity with which judges were rounded up after the coup failed indicates that the government had actually prepared a list in advance.

“It looks at least as if something has been prepared. The lists are available, which indicates it was prepared and to be used at a certain stage,” Hahn said, according to Reuters.

“I’m very concerned. It is exactly what we feared.”

Source::WikiLeaks suffers ‘sustained attack’ after announcing megaleak of Turkey govt docs
 
NYIRO

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
248
250
Daaah ila jamaa watakua mitamboni kueka mambo sawa. Nitarudi baadae najua watafanikisha tuukisha watamwaga mbungi zote hadharani
 
MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
2,000
Daaah ila jamaa watakua mitamboni kueka mambo sawa. Nitarudi baadae najua watafanikisha tuukisha watamwaga mbungi zote hadharani
Fununu wanadai shambilo hilo liliandaliwa na watawala, na hata list ya walioasi inadaiwa kuwepo hata kabla ya tukio lenyewe. Ndio maana wanadaikuwa na karibu 300K ya data za rais na serikali yake kuhusu hilo tukio.

Swali la kujiuliza,
Huyu assange, Mwaka wa nne yuko kifungoni ubalozi wa ECUADOR london. Hajawahi hata kuvuka barabara maana atakamatwa Hizi taarifa huwa anazitolea wapi? Wasijekuwa ni walewale wanachezea watu akili.

Ngoja tusubiri...
 
Ed n Edd nEddy

JF-Expert Member
May 3, 2011
5,346
2,000
Ngoja tusubiri tuone huyu 'shetani' alivyoshiriki

dd00c0076dfb4a0d228c84b2b9296ada.jpg
 
NYIRO

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
248
250
Mh sasa mbonabtaarifa nyingine zikidai ilikua ni battle ya Mrusi na USA Mrusi akichukizwa na kuangushwa kwa ndege yake yenye rubani wawili na ile ya abiria ilioangushwa mzima Sinai Egypt.
Interest ni Syrian war usa ikabidi afunge anga fasta na kuangusha helicopter zote za wanapinduzi. Inasemekana pia damu ilomwagikani kubwa mnoo zaidi ya ile tulotangaziwa. N.a. hii habari ya wananchi kuingia mtaani kila kitu ilikua tayari settled.
 
moto ya mbongo

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
476
500
Fununu wanadai shambilo hilo liliandaliwa na watawala, na hata list ya walioasi inadaiwa kuwepo hata kabla ya tukio lenyewe. Ndio maana wanadaikuwa na karibu 300K ya data za rais na serikali yake kuhusu hilo tukio.

Swali la kujiuliza,
Huyu assange, Mwaka wa nne yuko kifungoni ubalozi wa ECUADOR london. Hajawahi hata kuvuka barabara maana atakamatwa Hizi taarifa huwa anazitolea wapi? Wasijekuwa ni walewale wanachezea watu akili.

Ngoja tusubiri...
Juliane Assange ana mfumo wa kutuma data kwa @wikileaks.org anonymously. Yeyote anatuma data kwa softwares kama TOR, onion, kutuma taarifa zako bila kuacha traces mtandaoni. Ndiyo maana hupata data, japo makampuni kama Visa, American Express na mingine ya kutuma pesa lakini Wikileaks inapata pesa za kuiendesha
 
Nokchuno

Senior Member
Jun 25, 2016
101
225

Wamarekani wahuni sana
 
MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
2,000
Juliane Assange ana mfumo wa kutuma data kwa @wikileaks.org anonymously. Yeyote anatuma data kwa softwares kama TOR, onion, kutuma taarifa zako bila kuacha traces mtandaoni. Ndiyo maana hupata data, japo makampuni kama Visa, American Express na mingine ya kutuma pesa lakini Wikileaks inapata pesa za kuiendesha
uko vizuri madam
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,610
2,000
Fununu wanadai shambilo hilo liliandaliwa na watawala, na hata list ya walioasi inadaiwa kuwepo hata kabla ya tukio lenyewe. Ndio maana wanadaikuwa na karibu 300K ya data za rais na serikali yake kuhusu hilo tukio.

Swali la kujiuliza,
Huyu assange, Mwaka wa nne yuko kifungoni ubalozi wa ECUADOR london. Hajawahi hata kuvuka barabara maana atakamatwa Hizi taarifa huwa anazitolea wapi? Wasijekuwa ni walewale wanachezea watu akili.

Ngoja tusubiri...

Weakleaks ni mtandao wenye wafanyakazi lukuki duniani, Julian Assange ni mwanzilishi wa mtandao huo, uwepo wake "kifungoni" London hakuzuii wanamtandao wake kuacha kufanya kazi. Mtandao uko huru bado!
 
Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,151
2,000
Fununu wanadai shambilo hilo liliandaliwa na watawala, na hata list ya walioasi inadaiwa kuwepo hata kabla ya tukio lenyewe. Ndio maana wanadaikuwa na karibu 300K ya data za rais na serikali yake kuhusu hilo tukio.

Swali la kujiuliza,
Huyu assange, Mwaka wa nne yuko kifungoni ubalozi wa ECUADOR london. Hajawahi hata kuvuka barabara maana atakamatwa Hizi taarifa huwa anazitolea wapi? Wasijekuwa ni walewale wanachezea watu akili.

Ngoja tusubiri...
Ingia deep web utajua ni jinsi gani wanafanya kazi.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,054
2,000
Juliane Assange ana mfumo wa kutuma data kwa @wikileaks.org anonymously. Yeyote anatuma data kwa softwares kama TOR, onion, kutuma taarifa zako bila kuacha traces mtandaoni. Ndiyo maana hupata data, japo makampuni kama Visa, American Express na mingine ya kutuma pesa lakini Wikileaks inapata pesa za kuiendesha

Nadhani hii inakaribia ukweli wa kile ninachokiwaza.
Nilikuwa najiuliza hawa jamaa wanapata wapi hizi data? Wameajiri watu wangapi? Hela wanapata wapi?
 
gaspar kauki

JF-Expert Member
May 17, 2014
578
250
Fununu wanadai shambilo hilo liliandaliwa na watawala, na hata list ya walioasi inadaiwa kuwepo hata kabla ya tukio lenyewe. Ndio maana wanadaikuwa na karibu 300K ya data za rais na serikali yake kuhusu hilo tukio.

Swali la kujiuliza,
Huyu assange, Mwaka wa nne yuko kifungoni ubalozi wa ECUADOR london. Hajawahi hata kuvuka barabara maana atakamatwa Hizi taarifa huwa anazitolea wapi? Wasijekuwa ni walewale wanachezea watu akili.

Ngoja tusubiri...
mkuu unamaanisha watawala wapi yani erdogan alikuwa anajipindua maana yeye ndie mtawala wa uturuki!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom