Nokchuno
Senior Member
- Jun 25, 2016
- 101
- 94
Kama unasafiri tokea Arusha kuelekea dar, kokote utakapokula utagundua chakula kimepanda kwa buku soda kwa jero... Ni kwasababu hiyo buku na hiyo jero ni vat. Sasa asikudanganye mtu kwamba wafanyabihashara watagawana faida yao na serikali. Wafanyabihashara ni mawakala tu wa serikali katika kukusanya kodi, HAKUNA NJIA NYINGINE NI KUWAKAMUA TUU WANA WA NCHI, HADI MAISHA BORA KWA KILA MTZ YAJE.