Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira. Hawa jamaa ni waongo sana na uongo huo una malengo pia.
Ukweli ni kuwa:
#1. Dunia ipo flat
#2. Dunia imetulia tuli, haizunguki
#3. Dunia haizunguki jua, ila jua ndo linatembea kuzunguka jua
#4. Dunia ni kubwa kuliko jua au nyota
#5. Picha za shepu ya dunia tunazoziona leo kuwa ni duara ni just visual effects sio live images, wanatudanganya.
#6. Habari ya gravitational force towards earth is just a mythology, usiniulize kuhusu space, hapa sio pake.
Kwa nini nasema hivi:
#1. Naturally maji yapo level. Hayawezi kukaa katika mduara, usiniambie yananing'inia kwa attraction force towards the center of the earth.
#2. Hakuna mto unaopeleka maji mlimani yote huelekea bondeni. Usiniambie kuwa pia ni sababu za uvutano, hiyo ni myth.
#3. Hakuna rubani wa ndege amewahi kuthibitisha kuwa kuna ku bend ili kufuata mzunguko wa dunia.
#4. Usiniambie kuwa horizons ndo husabisha kuonekana " eti" dunia ni kama tufe.
#5. Observatories duniani ni nyingi sana, kwa nini mambo yote ya anga ni NASA pekee ndo wasemaji wakuu, waongo.
Sababu za Uongo:
#1. Kuingiza mawazo kuwa hakuna Mungu
#2. Ukiisha amini hakuna Mungu, basi biblia ni ya Uongo
#3. Kama biblia ni ya uongo basi Yesu harudi, kwa sababu biblia inasema Yesu anaporudi kila jicho litamuona. Kama dunia ni tufe walio upande wa pili hawawezi kumuona at the same time. Hivyo biblia ni kitabu cha zamani sio cha kuamini.
#4. Kwa vile biblia ni ya uongo na hakuna Mungu ( kwa kuwa ni bible tu ndo inatambua uwepo wa Mungu na uumbaji) wakaja na theory za Big Bang ambazo zinasema ulimwengu haukuumbwa na binadamu ametokea si kwa kuumbwa.
#5. The largest obsevatory duniani inaitwa Lucifer ambayo inamilikiwa na Vatican na ndio hao hao wanamiliki mradi wa CERN ambao umeanzisha theory ya BigBang, hivyo basi hawa wana lengo la kutuharibu akili kwa kutuaminisha hatukuumbwa, hivyo hatuna matumaini, Mungu hayupo na mwisho wa dunia haupo, yesu harudi wala hakuna kitu kama hicho.
Nawasilisha, leteni ubishi wenye mawazo, msilete lugha chafu.