Huu mchezo unaitwa 'mzungukeni'. Kupunguza PAYE na kuongeza VAT

Ni tofauti sanaa. Pengine unayo direct interest na ccm, ntajuaje kama ww ni green guard, au ntajuaje ww ni paulo makonda.

Ukawa watu hawazugwi kama ccm, ukawa watu wanaelezwa tu ukweli ambao wenyewe wanauona, ccm watu wanazugwa kwa kupewa viela vidogo vidogo, vinguo na chakula, huo ndo uzugaji, ukawa watu wanaenda wenyewe hawalazimishi, kuwa ukawa ni kuwa upande wa Mungu kwa lengo la kupambana na shetani ccm na wafuasi wake wote...

Kama hauna maslahi ya moja kwa moja na ccm, nakuweka kwenye kundi la masikini waoga, wajinga, wapumbavu na waliopitwa na wakati.

Na nikueleze kwa mara ya mwisho kwamba ukawa imejaa watu conscious wenye njaa na kiu ya maendeleo ya kila mtanzania ukiwemo wewe usiyejitambua, kilaz.a.
Ukiona mtu anazungumzia jambo la kupewa vitu vidogovidogo ujuwe anajuwa kuwa maisha ndivyo yalivyo kwa kuwa huko aliko huwa wanafanya hivyo.
Afadhari wewe ushajionesha wazi kuwa ni mfuasi wa Ukawa, mie mwenzio hata chama sina.
Huwa nasukumwa na mtazamo wangu juu ya ccm iliyoko madarakani na ccm ambayo haiko madarakani naona hii ambayo haiko madarakani ambayo inahitaji kupewa madaraka kwa namna yyte ile ( hata ya kubadili gia angani na kula matapishi yake yaliyokuwa yakitapikwa naye kwa zaidi ya miaka kumi (kutuaminisha kuwa fulani ni Fisadi papa, na leo hii huyo ni Shujaa/ kamanda papa ) ).' Naona hii ndio kabisaaaaa zuga na danganya toto... Yaani hawa ndio walaghai kabisaaaaaaa
Mie naona ni watu wanaopenda siasa maji taka, kuchafuana hawana hoja bali ni kupinga kila kitu...
Sasa kwa bahati mbaya inatumia ufinyu wa kufikiri wa baadhi ya wafuasi wake ( kama wewe ) na ushabiki damu kama wa simba na yanga wa baadhi ya watu, na kuwadanganya na kuwapandikiza chuki kwa kutumia vijamatukio vidogovidogo na kutaka cheep popularity kwa watu.
Sasa mie siko hivyo, sina ushabilki na chama chochote, ila huwa nafikiria jambo na kuona kama lina maana au lah... Likiwa na ukweli na mantic katik kichwa changu nalichukua na kuliamini pasipo kujali nani kalifanya hilo, au nani analisema hilo.
Ndio maana namkubali sana ZZK katika wapinzani, huwa anajengaga hoja na sio matusi na kashfa kama uko uliko wewe......
Mie ni team Tanzania, sio team ccm wala ukawa.
Ila kwa kuwa ushakaririshwa kuwa yyte atakayekuwa na mawazo tofauti na wewe, yyte atakayekataa kuikashfu serikali, basi huyo ni ccm au ni msaliti, basi mie sikukatalii hayo ni mawazo yako ( tena uliyokaririshwa)
Pole sana.... Na nakupa ushindi wewe kuwa umeshinda ili yaishe.....
 
Nakupuuza kama wewe mwenyewe.
 
Hatuna namna ndugu wafanyakazi wenzangu kwani sasa ni bora Mara 75 (numbers don't lie) tungeachwa tulipe PAYE ya %13 kuliko Leo hii kukatwa VAT 18%( numbers don't lie)

Tumezungukwa kisiasa kale kamshahara sasa kama ni PAYE ni sawa na kurudishwa kwenye %21 ( numbers don't lie) ya PAYE, ukitoa Pesa, ukituma pesa (vitu ambayo haviepukiki kwa mfanyakazi) utakatwa %18 kodi ya serikali, serikali ya pombe.

Kuna Vila.za wanasema hizo garama zitagaramiwa na mabenki na makampuni ya simu, wengi ni makada wa ccm, niwaulize swali. "Umepanga fremu unafanya biashara ya sukari,unauza kilo 2300, unalipia fremu laki moja, mwenye fremu akakupandishia bei ya fremu,ikafika laki mbili, na wewe faida yako ni elfu 50 kwa mwezi ukishalipa pango, kama hautaongeza bei ya sukari, utaendelea na bihashara????

Tumezungukwa wafanyakazi, na hii ndo inaitwa namba.

afadhali umewasema vilaza wa kweli ambao ndiyo hao CCM
 
Ni tofauti sanaa. Pengine unayo direct interest na ccm, ntajuaje kama ww ni green guard, au ntajuaje ww ni paulo makonda.

Ukawa watu hawazugwi kama ccm, ukawa watu wanaelezwa tu ukweli ambao wenyewe wanauona, ccm watu wanazugwa kwa kupewa viela vidogo vidogo, vinguo na chakula, huo ndo uzugaji, ukawa watu wanaenda wenyewe hawalazimishi, kuwa ukawa ni kuwa upande wa Mungu kwa lengo la kupambana na shetani ccm na wafuasi wake wote...

Kama hauna maslahi ya moja kwa moja na ccm, nakuweka kwenye kundi la masikini waoga, wajinga, wapumbavu na waliopitwa na wakati.

Na nikueleze kwa mara ya mwisho kwamba ukawa imejaa watu conscious wenye njaa na kiu ya maendeleo ya kila mtanzania ukiwemo wewe usiyejitambua, kilaz.a.
Ukiona mtu anazungumzia jambo la kupewa vitu vidogovidogo ujuwe anajuwa kuwa maisha ndivyo yalivyo kwa kuwa huko aliko huwa wanafanya hivyo.
Afadhari wewe ushajionesha wazi kuwa ni mfuasi wa Ukawa, mie mwenzio hata chama sina.
Huwa nasukumwa na mtazamo wangu juu ya ccm iliyoko madarakani na ccm ambayo haiko madarakani naona hii ambayo haiko madarakani ambayo inahitaji kupewa madaraka kwa namna yyte ile ( hata ya kubadili gia angani na kula matapishi yake yaliyokuwa yakitapikwa naye kwa zaidi ya miaka kumi (kutuaminisha kuwa fulani ni Fisadi papa, na leo hii huyo ni Shujaa/ kamanda papa ) ).' Naona hii ndio kabisaaaaa zuga na danganya toto... Yaani hawa ndio walaghai kabisaaaaaaa
Mie naona ni watu wanaopenda siasa maji taka, kuchafuana hawana hoja bali ni kupinga kila kitu...
Sasa kwa bahati mbaya inatumia ufinyu wa kufikiri wa baadhi ya wafuasi wake ( kama wewe ) na ushabiki damu kama wa simba na yanga wa baadhi ya watu, na kuwadanganya na kuwapandikiza chuki kwa kutumia vijamatukio vidogovidogo na kutaka cheep popularity kwa watu.
Sasa mie siko hivyo, sina ushabilki na chama chochote, ila huwa nafikiria jambo na kuona kama lina maana au lah... Likiwa na ukweli na mantic katik kichwa changu nalichukua na kuliamini pasipo kujali nani kalifanya hilo, au nani analisema hilo.
Ndio maana namkubali sana ZZK katika wapinzani, huwa anajengaga hoja na sio matusi na kashfa kama uko uliko wewe......
Mie ni team Tanzania, sio team ccm wala ukawa.
Ila kwa kuwa ushakaririshwa kuwa yyte atakayekuwa na mawazo tofauti na wewe, yyte atakayekataa kuikashfu serikali, basi huyo ni ccm au ni msaliti, basi mie sikukatalii hayo ni mawazo yako ( tena uliyokaririshwa)
Pole sana.... Na nakupa ushindi wewe kuwa umeshinda ili yaishe.....
Nakupuuza kama wewe mwenyewe.
messege sent and delivered....... Inatosha....
 
Better Government take effort to seek actual Data of tourist number of cancellation

VAT ghafla kwenye Tourism ni kifo cha thamani ya shillingi

kutakuwa na upungufu wa Foreign currency....No Coffee export we depend tourists to bring forex

Tourists hundreds cancelled their travel packages and thousands tourists are not considering Tanzania destination

Thousands of employment will be lost

A lot of fruits and vegetable will not get market and will be rotten
Na pamba nayo haipo tena, labda madini na kodi kutoka kwa wafanyakazi na wachuuzi ndiyo vinategemewa kuingiza pesa za kigeni!
 
Bia na Soda wanalipa kodi kuliko Dhahabu na Tanzanite

Utaambiwa hii nchi ina Dk na Professors.....Mikataba feki ya madini na Gesi

shangaa utalipia VAT kwenye simu M pesa na Benki

Utalii ni namba one katika revenue, employment na forex..... pesa ya kigeni

Watalii matajiri mna infrastructure?

Can you compare Tanzania to Egypt, Morocco, Mauritious, South Africa, Botswana?

Mtalii tajiri analipa park fee kubwa zaidi kuliko middle class tourists?

Angalia hotel nyingi Dar au Arusha ni za Bei gani?

Serengeti mna lodge ngapi za matajiri....statistics zikoje?

Serena ni lodge za matajiri au middle class?

Mount Meru Hotel Arusha....serikali ina share 51%
 
Mkuu Mungu atusaidie tu. Hakuna namna
 
Back
Top Bottom