Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

hapo cha mdoli subiri uzae uone balaa lake na akkua ada shule ya ukweli ni milioni na huenda wewe ni mwalimu wa msingi hapo sasa
 
Haha Nina kazi nzuri hata baba hajawahi kuwa nayo mwalimu was primary labda shangazi yako
 
Kwenye mtoto hapo, unakosea kwani yeye anajua hata jinsia yake? Au mpaka mkosee ndo muanze kujuta?
 
kwanini hukukuliza kama anataka mmtoto siku hizi kuna wanaume wanakutafuta wanakuambiya mkeo wangu nampenda lakini hazai naomba kuzaa nawewe mnaweka mkataba siyo anakupenda anataka aitwe baba basi siyo kuwa anakupenda hapana bila mtotot wewe hupendwi siungetangaza hapa mbona wako wengi hao labda huyo alikuwa hataki mtoto
 
Pole sana . Wanaume wengine ni Pasua kichwa kwa hiyo hauko peke yako. Muhimu subiri mwanao na umlee vyema Siku akirudi huyo Baba mbegu alipe fines zote za mtoto ndio aruhusiwe kumuona mwanae kwa Huduma vinginevyo kuhusu mahusiano yenu usimmruhusu tena akulaghai maana ataendelea kukuumiza tuu , wanaume kama hawa wanakeraa hadi kichefuchefu
 
Mfumo wa kufugana sijui muli rithi wapi.Munatakiwa muoane na muache uZizi .Sasa baada ya miaka 30 watu wengi watakua wanajua mama zao tu .Baba hawamjui ama wana ugomvi nae
 
Pole mwaya, sisi wanaume huwa Mungu katuumba na tamaa, usikubali kuwa mbali na mwanaume wako hata kama ni baba mchungaji. Ni very rare kukutana na mwanaume anayeweza kuhimili kukaa mbali na Mpenzi wake bila kuchepuka. Ni 1/7000
 
Ktk kipengele cha sample design, umefeli. Pole. Huyo jamaa atakuwa UKAWA tu!
Ndio tulivo, tuvumilie.
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Pole sana dada ila nakuomba kama ukijifungua mtoto wa kiume usimchukie maana ni mwanao tena umpende na kumlea vizuri ili akikua awe na tabia njema na upendo wa kweli.
Ahsante
 
Kwanini nyie wanawake hamfungi miguu yenu mpaka mkajua ni aina gani ya mwanaume unaye husiana. Yani condom huko utafikiri zina thamani ya zahabu. Hili umejisababishia mwenyewe hamna aliyekulazimisha ulale naye. Wanaume wote kwani haukujua wanataka ngono alafu wanakuacha. Yani hii ndiyo biologia ya mwanaume ni kutaka kusambaza mbegu yao tu. Nyie wasichana wakitanzania bado hamjaelewa kwamba mwanaume ukimpa anachotaka bila mkataba wa ndoa atakuacha. Hili liwe mfano kwa wenzako. Aidha mtumie kinga au mfunge miguu yenu.
Talking Madness , kakojoe ukalale watu wana kimbia familia zao itakua huyu dada!? Kikubwa ni wanaume kuyajua majukumu yenu tu
 
Lakini nani anayeathirika zaidi kwenye ngono. Nani kati ya mwanamke na mwanaume ndiyo atalipa zaidi mambo yakienda pabaya. Ni mwanamke. mwanamme yeye atakimbi 9 out of 10 times hasa hasa kwenye uchumi wa tanzania. Sasa kama mwanamke mwenye hekima cha kufanya ni kujikinga kutokana na wanaume wasio waaminifu. Kama wewe unajua utaathirika zaidi na unaweza kuachwa hata kwenye ndoa basi mpaka ufike sehemu ya kumuachia jamaa anakutandika miimba bila condom unatakiwa uwe umempitisha kwenye mitihani mingi mpaka ujue ni mwaminifu na mojawapo ya hiyo mitihani ni ndoa na kutoa mali iwe kama dhamana ili akikuacha yeye ndiyo aliyefilisika na hiyo maali itumike kukutunza. Lakini kwasababu tumeachana na utamaduni watu mnaenda kulaliana na kujazana miimba bila kufikiria kesho.
 
katika Maisha Nimegundua hakuna lililo jema kama Kumkabidhi Yesu kila kitu naomba mkabidhi yesu tu wala usichukie utaona maajabu mama.

Naomba usiache kuleta ushuhuda hapa pia
 
Lakini nani anayeathirika zaidi kwenye ngono. Nani kati ya mwanamke na mwanaume ndiyo atalipa zaidi mambo yakienda pabaya. Ni mwanamke. mwanamme yeye atakimbi 9 out of 10 times hasa hasa kwenye uchumi wa tanzania. Sasa kama mwanamke mwenye hekima cha kufanya ni kujikinga kutokana na wanaume wasio waaminifu. Kama wewe unajua utaathirika zaidi na unaweza kuachwa hata kwenye ndoa basi mpaka ufike sehemu ya kumuachia jamaa anakutandika miimba bila condom unatakiwa uwe umempitisha kwenye mitihani mingi mpaka ujue ni mwaminifu na mojawapo ya hiyo mitihani ni ndoa na kutoa mali iwe kama dhamana ili akikuacha yeye ndiyo aliyefilisika na hiyo maali itumike kukutunza. Lakini kwasababu tumeachana na utamaduni watu mnaenda kulaliana na kujazana miimba bila kufikiria kesho.
We unaongea nn wwe? inamaana Mahali tunayolipiwa wanawake huwa inawekwa ili ije itutunze !?? Kwa pesa gani hivyo vi Mil. 2 labda? Kwa taarifa yako mahali huisha hata kabla ya siku ya ndoa, na ikiwa mwanaume hajielewi hata akikuoa utaisoma namba wanawake wangapi wapo kwenye ndoa ila mahitaji yote ya familia yanawaangalia wao? Ndoa ni Mwamvuli tu utakufunika kichwa ila miguu utalowa! Usigukumu watu kuwa wanalaliana kimakosa ikiwa nafsi zimeridhiana roho zimetakana na sperm kumwagiana!
 
Kwenye methali umeniweza. Sawa hiyo mahali siyo suluisho na ndoa siyo suluisho nakubali. Suluisho ni nyie wanawake mlioachwa mwe mfano kwa mabinti wenu na wasichana wengine. Mwafundishe umuhimu wa kuwa makini wakati wa kuchagua mwanaume. Na kwa wavulana wenu mwapende na mwalee kwa hekima ili wawe wanathamini wanawake.
 
Pole sana mdogo wangu...kuna mapito mengi sana kwenye hii dunia..mara nyingine tunapitia mapito hayo magumu ili tujifunze au watu wengine wajifunze..kwanza ujue kabisa sio wewe peke yako yamekupata haya..kuna wengine wengi yamewapata zaidi hata ya hayo yaliyokupata..
Kwanza kubali yameshakutokea na sio mwisho wa maisha..pengine Mungu kakuepusha na mabaya zaidi kwa huyo mwanaume uchwara..Jitahidi kuudhuria ibadani na usiwe unakaa muda mwingi mwenyewe.. Mtoto hana kosa lolote na sio wanaume wote wako hivyo
Mungu akutie nguvu na akupe amani ya moyoni.
 
hapo cha mdoli subiri uzae uone balaa lake na akkua ada shule ya ukweli ni milioni na huenda wewe ni mwalimu wa msingi hapo sasa
Acha Dharau Kijana, kwani Mwl wa Msingi akiamua kusomesha mtoto huko kwenye Milion atashindwa? Basi kwa taarifa yako hiyo ni dhana tu ila wapo walimu wengi tu wanamaisha Standard kuliko hata wewe nhang'au Mjaa Lana uliyesahau MTU wa kwanza kukuokoa na mpaka Leo ukawa na jeuri ya kuwadharau walimu wa Msingi
 
Kwenye methali umeniweza. Sawa hiyo mahali siyo suluisho na ndoa siyo suluisho nakubali. Suluisho ni nyie wanawake mlioachwa mwe mfano kwa mabinti wenu na wasichana wengine. Mwafundishe umuhimu wa kuwa makini wakati wa kuchagua mwanaume. Na kwa wavulana wenu mwapende na mwalee kwa hekima ili wawe wanathamini wanawake.
Mimi sijaachwa tengua kauli ya wingi hiyo na ujifunze kuwafariji walio katika hali ngumu badala ya kuwakosoa, MTU anapotaka ushauri maana yake ni kuwa anajua amekosea sehemu na kwa uono wake haoni njia ya kutokea hivyo kumpa maneno ya lawama ni kumlundikia matatizo
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Usikate tamaa shogangu, pengne ipo siku huyo mwanaume atakutafuta na matumizi mengi ya mtoto. Mwanaume akizaa na mwanamke kutengana moja kwa moja ni ngumu mnooo. Vuta subira tu shogangu. Naktakia uzazi salama kpenz changu.
 
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Tatizo lako wewe umemweka binadamu kuwa tegemeo lako, mtafute kwanza Mungu na mengine utapewa kwa ziada. Kuchukia wanamume hakutakusaidia na badala yake kutakuongezea mateso.
Huyo mtoto aliyeko tumboni mwako kama ni wa kiume na wewe unataka wa kike, ni tatizo kubwa sana unalotaka kumpatia huyo kiumbe. Usimpatie jinsia wala usimchukie kwa kuwa ni mwanamume.
Ukimpa jinsia ya kike wakati ni mwanaume madhara yake ndio kuja kuwa na tabia kama za hao mashoga na kujikataa kama mwanamume.
Ukimchukia basi aweza kuzaliwa akiwa na hasira, chuki na uchungu kwako na kwa wengine maishani mwake mwote.

Ushauri wangu nakuomba umpende huyo mwanao mtarajiwa na umkubali kwa jinsia yeyote. Pili mrudie Mungu wako maana yaonekana umemwacha ndio maana unafikia hatua ya kuwa na chuki.
HASIRA HUKAA KIFUANI MWA MPUMBAVU. Mhubiri 7:8-9, mith 16:32
 
Back
Top Bottom