Recent content by nicholaus jr

  1. nicholaus jr

    Tukumbushane Watangazaji wa mpira wa enzi hizo

    Charles mabea enz za safari lager cup
  2. nicholaus jr

    Mgombea wa Republican afunguka kuhusu Afrika

    Huyu jmaa tunamuombea aende ikulu maana atsaidia sna nchi za Africa zjtegemee maana hatutegemei kiongz wa Africa atoke kavalia suti yke anaenda kuomba msaada marekani hku akjua rais ni Donald trump atampa makavu live na atamtimua maana jmaa kashasema Usa sio dampo la mattzo ya nchi zngne
  3. nicholaus jr

    Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

    Du hiii nchi tabu sna lkn ndio freedom of speech kaz ipo beba zigo lko hlo
  4. nicholaus jr

    Ziara za Mhe. Edward Lowassa Mkoani

    Si zuri kumsema vbya m2 ambae hakufaham na wala ww humfaham na kumtuhum kwa hear saying za wa2 mkutano wa masaa 2 unahrb kip ktk hrkt za devt kuna mambo ni irrelevant w2 mnawawekea maneno midomoni ukikaa hpa isemee nafsi yko na si kuwasemea wtz wte as if ww ni msemaji wao
  5. nicholaus jr

    Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

    Ile V8 matumiz yke ni mazito linakula mafuta htr services ndio usiseme sasa ongeza na usupestor ssa mtt wa mbagala alijpnge tu kma hamuingzii pesa ktk account yke itaachje kukauka
  6. nicholaus jr

    Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

    Mond kwa mara ya kwanza anamuangusha Godfather maana nyimbo ni ya kawaida sna lkn kuna kituo kimoja cha redio kinaongoza kwa unafiki duniani wataipigia promo na air time ihite lkn ni song ya kawaida sna ambyo hwz kusklza zaid ya mara 2 na saiv tuko bssy na hbr za majipu
  7. nicholaus jr

    Tangu nigundue tabia za mume wangu sina hamu nae tena

    jarb kutumia w2 wenye busara waongee na nae wmuulize ttzo ni nn tabia au ni pepo kwa hali ya kawaida ni vgmu bndam kuwa hvyo lkn hpo Umuhimu wa uchumba kuwa muda mrefu ndio unaonekanaa kutoa fursa ya kusomana tabia na mienendo mapena kwa muda mrefu ili kugundua uhalisia wa maisha ya m2 bnfsi...
  8. nicholaus jr

    Walisema hataweza kuleta mabadiliko ndani ya mfumo, sasa anatekeleza ilani yao

    Akiba ya maneno ni nzuri tukae kimya tusbr maneno meng ya nn time will justify what wer are expecting
  9. nicholaus jr

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Sidhan unawsingzia mzumbe kwa uongz uliopo kwa ssa lbda ulisoma evening program ya dar lkn main campus watu wa masters moto unawkaa kwenye maji dissertation znawatoa roho
  10. nicholaus jr

    Niko Java Excutive Pub madada meza ya mbele wanachukua dawa ya bikra kwa masai!

    Kichwa cha mwendawazimu hupta shida sna watakichezea watu jinsi watakavyo
  11. nicholaus jr

    Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

    Mkuu jthd kuandika vzr hyo research cz ikiwa chini ya kiwango kwa m2 level ya masters kuidefend kwa supervisor na ktk panel wtakusumbua sna kuitoa maana uzito wa research unaenndna na kiwango cha elimu ya unayoitafuta
  12. nicholaus jr

    Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

    Conceptual frame work ni diagrammatic model ambyo inasummrize maina research qns and specific research Qns lkn theoretical frame work ni key concepts and theories ambzo mi kma lens ya research yko juu ya theory ambzo utaztumia ktk research unayofnya Kuhusu qualitative znbse kwenye description...
  13. nicholaus jr

    CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    Experience has nothing to do in front of cempertence and knowledgeable qualifications ni vzr hyu Dr.apatiwe nafasi ya unaibu maana kaz ya kuonhoza bunge kimsing inaatka m2 awe na elimu ya kutosha ya sheria ongeza na changmto za wabunge weng vjna na wasomi wa upinzani inatakiwe awekwe msomi...
  14. nicholaus jr

    Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    Double standards ni k2 kbya mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu kwa mara ya kwanza tunashuhudia maumiv ynachagua sehemu ya kuumia
Back
Top Bottom