Tukumbushane Watangazaji wa mpira wa enzi hizo

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,862
23,142
Kumbukumbu ni nzuri,hebu tukumbushane watangazaji wa mpira tukianza na miaka ya nyuma,hawa jamaa tuliipenda sana huduma yao wawapo uwanjani.
 
Omary Jongo..mechi ya simba na yanga aliwahi tangaza matokeo haya sisi moja wao hawajapata kitu..bila
 
sekione kitojo..salum mbonde..mikidadi mahanoud.ahmed jongo..dominick chilambo..charles hilary..aboubakar liongo..mshindo mkeyenge..tido d mhando..abdalah majura
 
ezekiel malongo aisee hiki kichwa ni habr nyingine...sijui kipo wapi
 
Back
Top Bottom