Nina ushauri muhim kwa watafuta ajira Tanzania.
Kuna Employability Assessment inaitwa AMCAT kwa hapa Tanzania unaweza kujisajiri kwenye tovuti ya ZoomTanzania.com/amcat
Uzuri wa hii employability assessment kwanza kabisa ni bure, halafu unapata results siku chache baada ya kumaliza test inayokuonyesha wapi ulifanya vizuri na katika mambo gani inbidi uongeze juhudi. Matokeo yanakuonyesha pia unarange vipi kitaifa. Pia unaingizwa moja kwa moja kwenye database ya professional ambao waajiri wanaweza kuwapata kiurahisi. Watu waliofanya hii test wanasifia kwamba ni test nzuri.
Amcat Certification | ZoomTanzania