ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,002
Meinkempf = my own strength. Kusema vile sikuimanisha kuwa jamii forums haina wasomi najua wapo! Lakini tusiifanye kuwa first hand information wakati vitabu vimeandika mengi kuhusu hilo, au pengine angeomba watu wamwelekeze vitabu vinavyogusia kwa urahisi hiyo topic yake. Kuna wakati wazungu walisema "if you want to keep an African from anything,keep it in writing"
mkuu iko hivi, kama unajua na unatamani na wenzako wajue, utasaidia kiroho safi. lkn kama hujui na huna cha kusaidia, utaonesha dharau kwa wahitaji wa msaada.
ameuliza asaidiwe, si kwa sababu ni mvivu wa kusoma vitabu, yamkini amesoma vingi lkn hitimisho lake kama ni kitu kimoja.
kwa kuwa humu jamvini kuna watu wenye uzoefu na taaluma mbalimbali, wapo watu anaamini wanaweza kipunguza kitabu chenye page 400 kwa maneno 400 tu. mtu akisoma maneno hayo 400 tu ni sawa na kumaliza kitabu cha page 400.
hiyo inasaidia unaporudi kwenye kwenye kitabu unasoma na kuelewa vizuri.
mie nawashukuru wote mliofafanua, nami nimejifunza kitu japo sio mlengwa wa wa swali hilo. ila limeniongezea ujuzi