Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Yaan kipindi hili song la UTANIPENDA ndokwanzaaaaaa lipo hot hot,eti jamaaa katutisha na hii picha ,anataka alitoe na hili pia??! wallah Diamond tusameheeeeee,picha tu linaonyesha lazima king uchwara ajinyee nyeee
 
Kakopi title au kakopi content? Kama unazungumzia title; basi kajipange upya manake duniani hakuna hatimiliki ya title!

Mkuu una muda wa kubishana na hao Nguchiro...........????? waache na laana zao
 
Yaan kipindi hili song la UTANIPENDA ndokwanzaaaaaa lipo hot hot,eti jamaaa katutisha na hii picha ,anataka alitoe na hili pia??! wallah Diamond tusameheeeeee,picha tu linaonyesha lazima king uchwara ajinyee nyeee

Ngoma gani tena hilo mazee!!??
 
Mkuu una muda wa kubishana na hao Nguchiro...........????? waache na laana zao
Of course wapo ambao tayari nishawapuuza kitambo ila wengine ni majina mageni kwahiyo unahisi probably si miongoni mwa wale waliojawa viroja!
 
1. Ni simulizi iliyobeba hofu ya watu wengi. Nisipokuwa na mali, nisipokuwa na kazi, nikipigika mtaendelea kunipenda, kunisifia, na kuwa karibu yangu kama sasa?

2. Imejitosheleza kimaishari. Mashairi yameshiba na ya kina tofauti na nyimbo nyingi za aina hiyo zenye mashairi ya kujirudia sana

3. Video na wimbo vimechukua uhalisia zaidi wa maisha yake kwa kuwatumia watu wake muhimu maishani wakiwemo mama yake Sandra, mchumba wake Zari, mwanae Tiffah, mameneja wake na wengine

4. Ni Bongo Flava halisi (yenye vionjo vya pwani) ambayo kwa ukubwa wake inakuwa na maana zaidi kwa sasa kufanya nyimbo za aina hiyo ili kuitangaza kimataifa kutokana na ukubwa wake Afrika na duniani kwa ujumla.

5. Wimbo umetumia asilimia 100% Kiswahili. Hii inawafanya wengi wasioelewa Kiswahili kuhangaika kukijua walau kidogo na matokeo yake ni kuwa lugha inasambaa zaidi

6. Imeleta utamu wa kutumia mastaa wengine wa kibongo kwenye video kubwa (cameos). Ndani wameonekana mastaa kama Mwana FA, Shaa, Chege, Master Jay, Harmonize, Wolper

7. Kawakumbuka mashabiki wake waliokuwa wakijitokeza uwanja wa ndege kumpokea kutoka kwenye tuzo

8. Unaweza kuingia mkwanja kwenye video yako pia. Dr Mwaka na kliniki yake imepunguza gharama alizotumia kumlipa Godfather

9. Unaweza kumtumia ex wako pia kama video queen.. no hard feelings!! Vipi kuhusu Sepetunga lakini?

10. It?s a brilliant video and a masterpiece!!
 
1.Ni simulizi iliobeba hofu ya watu
wengi nisipokuwa na MALI,
KAZI,NIKIPIGIKA je ni nani ataendelea
KUNIPENDA? KUNISIFIA na kukaa
karibu yangu kwa sasa
2. Imejitosheleza KIMASHAIRI
mashairi yameshiba na yana kina
tofauti tofauti na nyimbo nyingi za
aina hiyo zenye mashairi ya kuunda
sana
3.VIDEO ya Wimbo imechukua sana
# Uhalisia zaidi wa MAISHA yake kwa
kuwatumia Watu wake muhimu
Maishani wawkiwemo # mama yake
mzazi # BI_SANDRA , Mchumba wake @
zarithebossylady mwanae # TIFFAH Na
meneja wake wawili #@babutale
# mkubwa@Fella
4.Ni bongoflavour halisi ambayo kwa
ukubwa wake imekuwa na maana
kubwa kwa sasa kufanya nyimbo.za
aina hiyo ili kutangaza mziki wetu
KIMATAIFA kutokana na ukubwa wake
Africa na Dunia nzima kwa ujumla
5.Wimbo umetumia asilimia 100%
KISWAHILI .. hii imewafanya wengi
wasioelewa Kiswahili kuhangaika
kujua walau kidogo nini @
diamondplatnumz anamaanisha na
matokeo yake ni lugha kusambaaa
duniani
6.Imeleta utamu kwa kutumia MASTAA
wengine wa Kibongo kwenye VIDEO
(CAMEOS) wakiwemo#MwanaFA
# CHEGGE #SHAA #HARMONIZE
# MASTER_JAY NA # WALPER
7.kawakumbuka MASHABIKI zake
waliokuwa wakijitokeza #AIRPOT
kumpokea kwenye # TUZO mbalimbali
8. Unaweza kuingiza MKWANJA kwa
VIDEO yako pia # DrMwaka na Klinic
yake imepunguza gharama aliotumia
kumlipa #godfather
9. Unaweza pia kumtumia EX wako
kuwa VIDEO Queene..(WAlper) hard
feelings veeep kuhusu # Sepetunga na
# Kidoti???
10. Its a BRILLIANT VIDEO and a
MASTERPIECE
kwa upande wangu Video hii imeniliza
coz inaelezea maisha halisi sijui ww
kwa upande wako????
 
Mond kwa mara ya kwanza anamuangusha Godfather maana nyimbo ni ya kawaida sna lkn kuna kituo kimoja cha redio kinaongoza kwa unafiki duniani wataipigia promo na air time ihite lkn ni song ya kawaida sna ambyo hwz kusklza zaid ya mara 2 na saiv tuko bssy na hbr za majipu
 
Kama kawaida ya chibu kaachia kitu cha home halaf dude linalokuja ni breakdance za hatari zaidi sa sankoro ronaldo anaeponda hiyo nyimbo Ana matatizo ya masikio sio bure video safi ujumbe safi mpaka vikongwe wanasikiliza na kutoa kajichozi Nicki minaj alisema people WL love and support u when its beneficial ndo alichoimba diamond mnyama
 
Told zem..!!
1. Ni simulizi iliyobeba hofu ya watu wengi. Nisipokuwa na mali, nisipokuwa na kazi, nikipigika mtaendelea kunipenda, kunisifia, na kuwa karibu yangu kama sasa?

2. Imejitosheleza kimaishari. Mashairi yameshiba na ya kina tofauti na nyimbo nyingi za aina hiyo zenye mashairi ya kujirudia sana

3. Video na wimbo vimechukua uhalisia zaidi wa maisha yake kwa kuwatumia watu wake muhimu maishani wakiwemo mama yake Sandra, mchumba wake Zari, mwanae Tiffah, mameneja wake na wengine

4. Ni Bongo Flava halisi (yenye vionjo vya pwani) ambayo kwa ukubwa wake inakuwa na maana zaidi kwa sasa kufanya nyimbo za aina hiyo ili kuitangaza kimataifa kutokana na ukubwa wake Afrika na duniani kwa ujumla.

5. Wimbo umetumia asilimia 100% Kiswahili. Hii inawafanya wengi wasioelewa Kiswahili kuhangaika kukijua walau kidogo na matokeo yake ni kuwa lugha inasambaa zaidi

6. Imeleta utamu wa kutumia mastaa wengine wa kibongo kwenye video kubwa (cameos). Ndani wameonekana mastaa kama Mwana FA, Shaa, Chege, Master Jay, Harmonize, Wolper

7. Kawakumbuka mashabiki wake waliokuwa wakijitokeza uwanja wa ndege kumpokea kutoka kwenye tuzo

8. Unaweza kuingia mkwanja kwenye video yako pia. Dr Mwaka na kliniki yake imepunguza gharama alizotumia kumlipa Godfather

9. Unaweza kumtumia ex wako pia kama video queen.. no hard feelings!! Vipi kuhusu Sepetunga lakini?

10. It?s a brilliant video and a masterpiece!!
 
Hivi kijana unapokuwa mrozi na mnafiki.. Ukizeeka utakuwa nani?
Mond kwa mara ya kwanza anamuangusha Godfather maana nyimbo ni ya kawaida sna lkn kuna kituo kimoja cha redio kinaongoza kwa unafiki duniani wataipigia promo na air time ihite lkn ni song ya kawaida sna ambyo hwz kusklza zaid ya mara 2 na saiv tuko bssy na hbr za majipu
 
Booooooonge la nyimbo lenye boooooooonge la ujumbe lenye booooooooooonge la biti yenye boooooooooooonge la video,safi DIAMOND WEWE UNAJUA NA UTAENDELEA KUJUA MAJUNGU WAACHIE WALEEE WEWE PIGA KAZI TU.
 
me ni fans wa hiphop sanaa asee ila huy diamond na hii ngoma yake hatar sanaaa.ameimba ki2 flan muhim sana na ukifkiria utajfunza kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom