Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Sidhan unawsingzia mzumbe kwa uongz uliopo kwa ssa lbda ulisoma evening program ya dar lkn main campus watu wa masters moto unawkaa kwenye maji dissertation znawatoa roho
 
Mzumbe ni janga walimu wake ndo utalia ukiwasikiliza wanakoita "Kufundisha" yaani weupeee vichwani hiv sijui huwa wanaajiriwaje
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Well, hongera sana kwa kupenda short-cut. Umeona mafanikio yake sasa?
 
nimekuja kugundua late, Mzumbe- Dar Campus MBA ni uozo mtupu (Beua Beua style), tunatoka hapo weupe kichwani
 
Taaluma ni juhudi ya mtu binafsi. Majengo, jina la chuo au Prof. waingizi maarifa kichwani mwa mwanachuo bali juhudi yako ya kujifunza. Hata ungeenda chuo gani kama husomi unataka kununua cheti hiyo ni juu yako juu ya chuo. Kuna watu wanashule yao ya ukweli toka MU wewe huna shule una cheti haya sasa tuone nani zaidi.
Umenena vyema mkuu..
 
bora umekuwa mkweli ila hapo Mzumbe nako walimu wake ni wa ajabu kiasi fulani mwalimu wa Public Administration kasoma PhD (Rural Development) SUA machapisho yake anazungumzia mambo ya MEMKWA (Elimu) hivi utapimaje umahiri wake kitaaluma?
Hapa ni issue ya uelewa. Kama amesoma SUA itakuwa Development Studies Institute na kule wako walio vizuri tu kwenye maeneo fulani ya Public Administration. Kwani hata kama ni Rural Development si lazima pia iwe managed. MEMKWA pia ina aspect za Public Administration.
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
Even gays goes for MBA nowdays?
 
Mimi sometimes naona kusoma sana si kuelimika, Kuelimika ni pamoja na;

1. kuleta positive impact kwenye community inayo kuzunguka,
2. Uwe na uwezo wa ku convert theoretical knowledge into practice,
3. Creativity hasa linapokuja swala la kusolve challenges tofauti za kimaisha.

Unaweza kusoma hadi level ya PHD havard university na elimu yako isiwe na impact kwako na kwa jamii yako. Mimi niligraduate MU DSM campus 2010, nilianza 2008. Elimu niliyoipata pale ilinisaidia, na nilifanya kila kitu mwenyewe.
 
shame on you niqqa
huyu mzee na mzee mwenzie padri slaa tokea walambishwe hela za magamba na limbwata la kihaya wamekuwa kama mahayawani!we mzee usiyepiga hata kura hapa tanzania funga bakuli lako unatupigia kelele!hivi slaa bado analala sebleni kwako huko marekani?!!

Even gays goes for MBA nowdays?
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
Majanga haya
 
Sina uhakika na hili, Nimesoma Mzumbe, Darasa langu wamedisco watu zaidi ya 15(Mungu anisamehe kama nawakumbusha machungu), Dessertions yangu bado nakomaa nayo mpaka sasa hivi haijakaa sawa. Sasa kama kuna mtu anafanya hivyo siyo mbaya ni kwa faida yake mwenyewe. Lakini nathubutu kusema bado darasani Mzumbe inajitahidi kufundisha sana.
 
mzumbe ni janga walimu wake wamekaa kimaslahi zaidi (PESA MBELE) kuna baadhi ya Ma-Dr na Ma-Professor pale (hata kujieleza kwa ufasaha darasani ni ishu)
 
Mzumbe ni janga walimu wake ndo utalia ukiwasikiliza wanakoita "Kufundisha" yaani weupeee vichwani hiv sijui huwa wanaajiriwaje

Sidhani kama una uhakika na unachokisema, wapo wengi tu wenye capacity kubwa tu and they have requisite qualifications
 
mzumbe ni janga walimu wake wamekaa kimaslahi zaidi (PESA MBELE) kuna baadhi ya Ma-Dr na Ma-Professor pale (hata kujieleza kwa ufasaha darasani ni ishu)

Let me help you mkuu, kwanza wataje hao ma-Dr na ma-Prof ambao wako kimaslahi zaidi ili tujue na sio porojo kwa faida ya nchi.

Pili, mkuu kuna watu ni ma-Dr na ma-Prof wanajua vitu na hawajui ku-deliver, na hii sio
Mzumbe tu, hata vyuo vingine mf Tumaini, Saut, Udom, Sua na UDSM wapo, i have a proof with that
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom