jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Akachezee na wajukuu umri umemtupa mkono huyo
Au aende Chadema kama hajaridhika,huyu aliisigina rasimu ya Warioba mwache akarine asali kwanza hata akina Makinda wametangaza kustaafu ambaoni wadogo kwake,tumechoka na Sitta awapishe wengine,mambo ya kurumbana na wajukuu zake bungeni yangempunguzia heshima,kwa hilo naipongeza CCM,sasa aungane na akana Wassira kukaa pembeni.Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge.Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi.Pia tunampenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.
Manyumbu bana kila siku Lowassa,Lowassa,kwani Lowassa ndio kamkata Sitta?CCM mbele kwa mbele!! Ha ha ha haaa!! Nazkumbuka fitna za sita dhid ya lowasa wakat akiwa wazr mkuu! Sita akiwa spika aliongoza fitna mpk mzee akalazmu kujiuzulu!!
Mola analipa hphp duniani!!!
Viva lowasaaaa!!!!!!!
tuliposema tunajenga ccm mpya ni pamoja na kuondoa hawa wazee ving'ang'anizi katika nafasi zote
Kuna uzi maalumu tulianzisha nakumweleza Sitta, Bunge la katiba lilihitimisha safari yake kisiasa. Tulimweleza CCM wamemtumia hadi kusema uongo, sasa wanaachana nayeAu aende Chadema kama hajaridhika,huyu aliisigina rasimu ya Warioba mwache akarine asali kwanza hata akina Makinda wametangaza kustaafu ambaoni wadogo kwake,tumechoka na Sitta awapishe wengine,mambo ya kurumbana na wajukuu zake bungeni yangempunguzia heshima,kwa hilo naipongeza CCM,sasa aungane na akana Wassira kukaa pembeni.
Hapo umesema ukweli hana sifa za kuhimili vishindo vya bunge walilojaa wajukuu zake,keshakuwa zilipendwa.Hakuna fitina wala nini,hana sifa apumnzike tu
Kwa laana hiyo kila atakacho kuwa ajaribu kufanya kitakuwa kina buma. Ameaibika sana ! sasa bunge atakuwa analifuatilia kwenye runinga kama sisi walala hoi aliosigina maoni yetu ktk katiba.
Mtu akikosa nafasi ya uongozi sio laana!Nafikiri sasa hivi amejifungia sehemu na mwanasheria wanafanya drafting kesho wafanye filing mahakamani..
Zile fitna ulizomfanyia EL ukiwa spika.. Then ulivyofanya unafiki wa hali ya juu pale ulipoyatupilia mbali maoni ya wananchi kama yalivyopokelewa na tume Ya Warioba.. Hiyo dhambi na laana yake unayo mpaka kaburini.
Si unaona mwenyewe.. Urais chali.. Sass uspika chali..
Teh Teh.. Teh.. Teh
Ulikua naaana gani kusema kujenga ccm mpya wakat matofari ys zamani?tuliposema tunajenga ccm mpya ni pamoja na kuondoa hawa wazee ving'ang'anizi katika nafasi zote