Recent content by ngonga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye tells off investors

    huyu sumaye mpuuzi tu, haya mambo anayosema yanafundishwa Universities za hapa hapa bongo dah nilisahau huyu jamaa hakugusa mlimani, lakini nakumbuka tulifundiswa kwenye somo la development studies mambo ya vicious cycle of poverty au pros and cons of exporting natural resources as raw material...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    hata mimi mshikaji, ana matusi sana huu si ustaraabu kabisa mtu hata kama umetumwa na mafisadi basi si uwe mstaraabu, duh wajameni.
  3. N

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    UFUNUO WA YOHANA;181369]That's good. Kila kona wanabanwa mbavu sijui watakimbilia wapi? inabidi waende misitu ya Congo wakafiche nyuso zao. hah....hah...ahh iseh hii kali sana umenivunja mbavu, ufunuo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Fisadi Kinje Mbona Haongelewi

    leokweli could you please, break it down with more details then we can pick it up from there?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio serikali ya Kikwete na Mafisadi yake

    There is no doubt kikwete ni fisadi hii iko wazi kabisa we angalia tu process ya yeye kuteuliwa na ccm kua presidential candidate "wanamtandao" ndio washkaji wake na wooote ni mafisadi sasa unategemea jakaya awe clean.
  6. N

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    hii link hapa inaelezea jinsi mambo alivyokua upande wa nigeria kuhusu vijisenti vyao. http://www.thelawyer.com/cgi-bin/item.cgi?id=129788&d=415&h=417&f=416
  7. N

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Ni kweli unavyosema lakini kumbuka kwamba olusegun obasanjo ambae alikuwa raisi wa nigeria aliweza kurudisha ktk serikali ya nigeria vijisenti ambavyo mtoto wa dictator sani abacha alikua amezificha jersey island, kwahiyo nakubali ugumu upo lakini hii case ya nigeria inatupa matumaini. halafu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania It's time we burst the Pandora Box!

    yes mwanangu NA KAZI IENDELEE kumkoma nyani giladi.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kitenge Pande Nne!

    ebu jamani kila mtu a-google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ISLAND ENGLAND hapo kuna infor kibao kuhusu vijisenti.
  10. N

    JamiiForums Tanzania SFO wanatuchunguzia serikali yetu au yao?

    google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ISLAND ENGLAND hapo kuna infor kibao kuhusu vijisenti.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Shein London Wavamiwa na Wazimbabwe & BALOZI MAJAAR vs JF

    jamani hebu kila mtu a-google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ISLAND ENGLAND hapo mtapata infor kibao kwani mafisadi wanapenda kuweka vijisenti huko.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji atunukiwa Kiti Cha Usomi cha Mwalimu Nyerere

    ebu pateni information kibao kwa ku-google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ISLAND ENGLAND halafu mtashangaa jinsi kisiwa hiki kilivyokubuhu kwa kuweka vijisenti.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pinda & Shein becoming CCM Spinning Machine?

    jamani ebu google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ISLAND ENGLAND halafu muone jinsi hiki kisiwa kilivyokubuu kwa kuweka pesa za wizi, please weka thread.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je wayajua Mahusiano ya Tanzania na Kisiwa cha Jersey

    hii cha mtoto wewe google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ISLAND ENGLAND halafu utaona mafisadi kwanini wanapenda kuweka pesa kwenye hiki kisiwa, jamani enhe wekeni thread kuhusu hiki kisiwa kuelezea kilivyokubuu kwa kuweka pesa za wizi.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji atunukiwa Kiti Cha Usomi cha Mwalimu Nyerere

    issa shivji ni mzalendo kweli kweli, ingekua kila msomi au maprofessor wa tanzania wanatetea wanyonge kama anavyofanya IS ingekua safi sana,kwa kifupi ni kwamba issa shivji ni mtanzania mwenye asili ya kiasia lakini ni mzalendo halisi kupita ben mkapa,edward...
Back
Top Bottom