Sumaye tells off investors

I

As for investment, he is a bit late.While people are moving away from commodity dependent economies and towards "knowledge work" he is still advocating commodities, even after the so called Harvard degree.

..hata hiyo manufacturing tu imetushinda,knowledge tutaiweza vipi?

..hivi vitu vinategemeana!
 
Siku hizi amekuwa mfanyabiashara mkubwa sana, kila siku yupo NY sasa ninajiuliza hivi hawa viongozi wanapokuwa kwenye power ni nini kinachowashinda kutumia hizo akili za biashara kulisaidia taifa letu, akili ambazo wanakuwa hawana wanapoingia kwenye power, ila wanazipata baada tu ya kutoka kwenye power!

Huyu mkulu wa kulaumiwa ni kama kawaida aliyempa ule u-waziri mkuu kwa makusudi ili asimzibe Mkapa, guess alipewa na nani?

Alipewa na Mwalimu, simply because alikuwa mjumbe wa CC, kutoka kabila dogo, na kutokuwa na uwezo, ndio hasa qualifications zilizomfanya apewe uwaziri mkuu!
 
Siku hizi amekuwa mfanyabiashara mkubwa sana, kila siku yupo NY sasa ninajiuliza hivi hawa viongozi wanapokuwa kwenye power ni nini kinachowashinda kutumia hizo akili za biashara kulisaidia taifa letu, akili ambazo wanakuwa hawana wanapoingia kwenye power, ila wanazipata baada tu ya kutoka kwenye power!

Huyu mkulu wa kulaumiwa ni kama kawaida aliyempa ule u-waziri mkuu kwa makusudi ili asimzibe Mkapa, guess alipewa na nani?

Alipewa na Mwalimu, simply because alikuwa mjumbe wa CC, kutoka kabila dogo, na kutokuwa na uwezo, ndio hasa qualifications zilizomfanya apewe uwaziri mkuu!

Apa umegusa jambo!! Watu walimsema sumaye for mashamba...kumbe wengine wana dili kubwa zaidi (Richmond,EPA,Kiwira,Iptl,bandarini etc etc )...
swali je nani ni kiongozi saizi kwakuwa wana upeo mdogo..makamba anyone??
 
Apa umegusa jambo!! Watu walimsema sumaye for mashamba...kumbe wengine wana dili kubwa zaidi (Richmond,EPA,Kiwira,Iptl,bandarini etc etc )...
swali je nani ni kiongozi saizi kwakuwa wana upeo mdogo..makamba anyone??

Kapinga, assumption is the mother of all.......
We naona hupati picha.
 
Mimi naona Ugwana ni kukiri udhaifu pia makosa mara baada ya kugundua makosa.

Mimi nafikiri sumaye ni muungwana Maana amekiri kabisa ktk uongozi wake waliasisi upuuzi Na hilo kaligundua na anataka Viongozi waliopo wasifanye madudu kama walivyoyafanya wao.

Mtu mwema akidumbukia ktk shimo fulani na akavunjika miguu ,mie nafikiri kama ni muungwana atamwelekeza nduguye/rafiki/jamaa anapoana naye anaelekea ktk shimo lile la hatari.

Sumaye kakiri ya kwamba hakuelewa yani alikua mjuha ktk eneo hilo .
 
Mbona huyo nae ni fisadi tu ngoja tuanze kufukua madudu yake tuyaweke hapa then mpime nyie wenyewe.

kwenda kusoma si technic ya kupotea machoni kwa wa-tz angalau anasahaulika kwa muda fulani..Tutaruka nae vile vile!!!
 
Mbona kaanza maandalizi mapema ? Au ndiyo ile vita ya kuzidi kumnyama mshikaji wake Mkapa naye kaanzia upande huu ? Ujasiri ghafla tu inakuwaje Sumaye ? Mimi najua deal yako unayo andaa mbona ume wahi sana ?
 
Waswahili walisema nyani haoni Ku***** Hivi yeye anapolipwa pesa chungu nzima ya walipa kodi haoni kama hiyo ni hujuma vile vile?

Hawezi hata kuhesabu ni Mawaziri wangapi wakuu tunawalipa kwa kutuibia, I bet hawapungui viongozi kumi waliostaafu ambao hawakuleta mafanikio yoyote bali kujilimbikizia mali. Hata mtoto ambaye hakwenda shule anafahamu wawekezaji wanatuibia huhitaji kwenda Havard.
 
huyu sumaye mpuuzi tu, haya mambo anayosema yanafundishwa Universities za hapa hapa bongo dah nilisahau huyu jamaa hakugusa mlimani, lakini nakumbuka tulifundiswa kwenye somo la development studies mambo ya vicious cycle of poverty au pros and cons of exporting natural resources as raw material and final product, sumaye is just a fu..ing fool.
 
Huyu Chenge alisoma lini Harvard? Digrii ya ngapi? Na alisomea nini?

Mwageni mnayojua hapa...

Kwa upande wangu nitacheki na registrar's office nione kama kweli alisoma hapo au vipi...
 
He has in the past publicly admitted that he was not �aware of why Tanzania is very poor until I attended a special master�s degree programme at Harvard University�.
Statement hii imefunga kazi yaani alikuwa Li -WAZIRI kubwa lao kwa miaka 10 kumbe hamna kitu?..
Yaani hata vitabu vya uchumi alikuwa hasomi mpaka shule darasani, duh kazi ipo kweli!
 
Huyu Chenge alisoma lini Harvard? Digrii ya ngapi? Na alisomea nini?

Mwageni mnayojua hapa...

Kwa upande wangu nitacheki na registrar's office nione kama kweli alisoma hapo au vipi...


Chenge kasoma digrii ya kwanza UDSM
Chenge kasoma digrii ya pili(masters) Havard
 
Chenge , Andrew J.
GENERAL

--------------------------------------------------------------------------------
ID No.: MEMBER'S PICTURE
Salutation:
First Name:
Middle Name:
Last Name:
Member Type:
Constituent:
Political Party:
Office Location:
Office Phone:
Direct Line Dar. #1
Residential Dar. #1
Direct Line Dom #1
Mobile
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Start Date:
End Date:
Date of Birth

--------------------------------------------------------------------------------
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Harvard University LL.M 1975 - MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1972 - GRADUATE
Mkwawa High School-Iringa A-Level Education 1967 1968 HIGH SCHOOL
St. Mary's Junior Seminary-Nyegezi Mwanza Secondary Education 1963 1966 SECONDARY
St. Pius Minor Seminary-Makoko, Musoma Primary Education 1959 1962 PRIMARY
Zagayo Primary School Primary Education 1955 1958 PRIMARY
 
Inaweza kuwa ni story, lakini inaweza kubeba maana kubwa sana kwa maendeleo ya taifa letu. Forum hii natambua si kwa ajili ya wale wanaojiona kuwa wana elimu na urasimu taaluma (technocracy). Nikiwa kama mchangiaji wa kawida ambaye nina elimu ya chini ya maendeleo ya jamii, ningependa kuchangia kuwa sisi watanzania ni wakimya na ukimya wetu kuna baadhi wana uona kama upumbavu.

Kauli hii ya FS si ya kwanza kusikiwa, utashangaa hata JK aliwahi kunukuliwa akisema hajui nini kinasababisha umaskini Tanzania!

Chifu Nanga kama alivyoneshwa na Achebe aliwahi kutamka kuwa wakati mwingine hatuwahitaji wasomi watuongoze na kufanikisha maendeleo yetu. Hii ilikuwa ni kwa mtizamo kuwa wale wote waliopewa madaraka walikuwa ni watu wasomi wenye shahada toka Havard na kwingineko lakini ni hawahawa ambao wameifukarisha nchi yetu na kutufanya ombaomba.

Sumaye anaongea hivi ili kujisafisha bila kujua kuwa sisi tunamjua mwizi na alikuwa anashirikiana a wezi 'wenzake' kutupora watanzania


Tukiamka, tutachukua vyote kutoka kwao na jamaa zao
 
The come back of FTS ....... ameweza kugundua kwamba kwanini Tz ni maskini! Kwe kwe kwe.... sometimes siasa za Tz ni kama comedy fulani hivi..Angalau hii imenifanya nicheke sana leo.....
Kiula alimshauri Jk atangaze hali ya hatari ili kukabiliana na ufisadi (LOL)
 
Jamani, mbona hamumuonei huruma mzee wa watu. Jamaa na yeye alitaka kutuonyesha kuwa kadegree kake ka mwaka mmoja kamemfunua ukihiyo aliokuwanao. Mambo ambayo yalikuwa yanaongelewa kila siku mpaka kwenye ma-daily news, Ma-The Gurdian yeye kumbe alikuwa hajasikia. Kumbe jamaa alikuwa hata hasomi magazeti. Anyway siasa za bongo watu wanasoma udaku na kasheshe ili waone kama kipanya kawachora. Anyway, muacheni naye aongee mambo ambayo enzi zile akiwa Waziri alikuwa hayaelewi wala hakuweza kuyaongea!!! Hongera "Zero" mwenzangu (Havard graduate). Wasikuonee wivu!!!!!!
 
Back
Top Bottom