It is so sad that people are just starting to realize that Kikwete is corrupt now, while others warned about his sneakiness af far back as 1995.
Kasifa kwa wizi, coercion, deception and corruption?
Kuanzia $ 20 za Wairan mpaka kumuibia yule mama hela zake Moro mpaka kumchafua Dk. Salim kwa Photoshopped pics, yaani jamaa amefanya mambo desperate kishenzi.
Pleeeeease,
Kama angeshinda fair and square ningesema sawa, lakini Kikwete ka-employ every last one of Machiavellian tricks coupled with some Sun-Tzu moves that are closer to a Mugabe that a PURT.
Kikwete is the lowest point the presidency has ever sunk, I used to think it was Mwinyi, now Kikwete easily broke that record.
Lakini na CCM si walimfanyia U-makaveli 1995? Angelala chini ajigalagaze wamkanyage tena?
No,
Unapiga some honorable Samurai blows, kama vipi death before dishonor, kamikaze style, sio huyu "power at all cost"
Kuna wakati mwingine inabidi ufanye maovu ili kufika sehemu itakayo kupa nguvu kuondoa maovu. Unaijua hiyo nadharia?
Pundit,
Japo JK anachemsha vibaya vibaya, unaweza kuumpa kasifa kidogo kwamba ndie Rais wa kwanza aliyekuwa na upinzani ndani ya CCM na akashinda bila kupigiwa mapande?
Rais wa kwanza ndio hivyo tena. Chagua Nyerere au boxi tupu.
Mwinyi alibebwa na Nyerere.
Mkapa alikuwa offside ndani ya 18, kiungo Nyerere akampa pande la nguvu akamalizia. Kina Malecela, Kikwete na wapinzani wengine ndani ya CCM walipoleta kokolo, Mchonga akawazima kwa hasira kali sana.
Unaonaje?
Kikwete nchi anaipeleka ktk vurugu kubwa sana. Tatizo yeye ni ndumila kuwili yaani kwa wananchi anaonekana na kwa mafisadi anaonekana.