omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 147
Wazee najitahidi kuwatupia mambo ya leo MLIMANI wakati wa kumsimika msomi wetu Prof Issa Shivji Kiti Maalumu cha Usomi Cha Mwalimu Julius kambarage Nyerere. yeye anakuwa msomi wa kwanza kutunukiwa kiti hicho ambacho ni cha kwanza cha mfanowe kuanzashwa katika vyuo vyetu hapa nyumbani. kiti hiki kinamtambulisha Prof Shivji kama Msomi mahiri wa falsafa za mwalimu nyerere na mapmbano ya mwafrika. Kazi yeke itakuwa ni kufanya tafiti, mijadala na shughuli zingine zenye kulenga kutunza na kuchanganua mafundisho ya mwalimu nyerere haswa katika masuala ya vuguvugu la uafrika yaani PANAFRICANISM.
Natumai nitafanikiwa kuupload baadhi ya mapicha na ikishindikana naomba mwanakijiji na invisible wanijulishe jinsi ya kuwatumia wao.
Tanzanianjema
Natumai nitafanikiwa kuupload baadhi ya mapicha na ikishindikana naomba mwanakijiji na invisible wanijulishe jinsi ya kuwatumia wao.
Tanzanianjema