Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,531
Wakati wa Azimio tulisema ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora.
Hali halisi ya sasa hivi ya Tanzania inatubidi turudi tena na kujiuliza ili tuende tunahitaji nini?
Tunahitaji Pandora Box la Tanzania livunjwe, vilivyomo ndani vianikwe!
Hatutaweza kuendelea na kupiga hatua kama hatuta chukua hatua hii madhubuti, ngumu na chungu kujua ukweli wa yaliyotusibu na kutufikisha hapa tulipo.
Huu uoga wa nchi kuyumba, ohh mtikisiko utatishia Amani, Utulivu, Mshikamano na Demokrasia yetu ni UNAFIKI mtupu ambao unaendelea kutudumaza kwa kutufanya waoga, kuhofia ukweli.
Tuliimba nitasema Kweli Daima, Fitina kwangu ni Mwiko, ni wakati tudai haki zetu kutoka kwa Serikali na Watawala.
Ili tuendelee kama Taifa tunahitaji vifuatavyo;
The Pandora box has to be opened. For our country to make steady progress in development and bring back accountability, the Pandora Box has to burst open.
Yes there will be blood, tears and teeth gnashing.
However without those things to happen, we will never have a chance to have a positive reflection to shape up our new direction towards maendeleo na uwajibikaji.

- Ukweli na Uwazi kuhusu Uhujumu wa BOT
- Ukweli na Uwazi kuhusu sakata la Zanzibar na Mwafaka
- Ukweli na Uwazi kuhusu Uhujumu na Uzembe uliotuletea IPTL, ATCL, NMB, TRL, RICHMOND
- Ukweli kuhusu mikataba yote ya Madini
- Ripoti ya Warioba ya mambo ya Rushwa
- Maelezo ya Rostam yaliyozuiwa na CCM kuhusu Richmond
- Ukweli kuhusu Chenge na Vijisenti vyake kuhusiana na kashfa ya Radar
- Ukweli na uwazi kuhusu mauaji ya Mwembechai, Zanzibar, Bulyanhulu na kwenye migodi mingine
- Ukweli na Uwazi kuhusu Mapato na matumizi ya Serikali
- Ukweli na Uwazi kuhusu mali za Viongozi wote wa Serikali tangu mwaka 1992
- Ukweli na Uwazi kuhusu nia ya kuundwa kwa Katiba mpya
- Ukweli na Uwazi kuhusu sera za Uwekezaji, misamaha ya kodi na ushuru kwa wawekezaji