Recent content by ngaranumbe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Zanzibar Ni Rahisi Kuiona Tanganyika!

    Walisema eti Nyerere akifa machafuko yatatokea na damu itamwagika, mbona sijasikia hayo. Eti Muungano ukizimia eti tutaangamia, huo ni utovu wa nidhamu. Mbona Azimio la Arusha lilizimia na Kufa puu na hakua liyekufa? Mbona Zanzibar haiku badili jina na badala yake iwe kwa Tanganyika kuwekwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tuige hii desturi ya wachaga

    Mbula, tafuta pesa babangu, acha majungu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tuige hii desturi ya wachaga

    Mimi ni Mchaga, niliambiwa na dingi kuwa popote niendapo ni jenge, nilime na nikipata mashamba ninunuea kuwa hana kitu cha kunipa. Kwa hasira niliona kaninyima haki yangu ya urithi kumbe alinifungua akili ya kujitegemea. Nilifanya mapinduzi kwa nguvu zote. Ka-shamba ka dingi kwa sasa nakaona...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada ushauri; smart phone ya kununua

    Haya kaka Kama nampotosha, mpe wewe sasa aina!!!! NUNUA Satellite Phone ya uzito 3kg, network hadi Loliondo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nape nauye asema UKAWA wasirudi bungeni

    Kama walimponda warioba kwanini wanaendelea kujadili rasimu wasiyoikubali? si waache kujadili. Hivi CHADEMA wangeuwa nao wangeingia bungei na katiba mbadala kama CCM si kungewaka mojo. Bora walisusia uvundo. Najiuliza kwanini Tunasherehekea Uhuru wa Tanganyika mbayo haipo?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Taasisi kongwe zinazotumia jina la Tanganyika

    Hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar lipi koloni la mwingine?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    English
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Richard Tambwe Hiza

    Mungu ana siri kubwa sana na mwanadamu, leo mkisema ee Mungu kwa dhati kwa kuomba na kufunga CCM isambaratike kama KANU haitachukua miaka 5 ombi litakuwa limejibiwa ila kwa uchawi, ushirikina na visasi itachukua muda, pia njia ya muovu ni fupi Mungu hatavumilia.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Aman Walid Kaburu yu wapi naomba mnijuze!!

    Hive Masumbuko Lamwai yuko wapi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania t.b joshua na utabiri wake

    Kwani TB Joshua huwa anatabiri nini? Anyway, kwangu amtabiri wa matokeo ya mpira kuwa sehemu ya Unabii naona ni sama na kupiga ramli. Ni bora mtu mwingine kama mimi nikatabiri kwa mtizamo kwa kuangalia viwango vya timu husika. TB Joshua siyo Nabii, ni tapeli wa kivuli hicho, tena ni urgent wa...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utalii wa ngono waingia na kushamiri nchini

    Katia nchi ya thailalnd ni ruksa na kodi wanalipa, ni aina ya Utalii na wanaoshiriki hupimwa na wanaleseni ya shughuli hii ya nyetini inayofanywa na Watalii wa kiume na kike. Unaweza kuwa na mke/mme aliyeajiriwa na Lodge ya kitalii kwa ajili ya kupigwa/kupiga watalii miti. Hii ni aina pia ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya Tanzania vyatia aibu

    Course ya mpira iko universities?, kama haipo mute
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Kabila la Wapare

    kwa umbea, wivu na ushirikina ni kiboko. Usipange karibu na mpare hata nguo za ndani huzishughulikia. Wapare hufunga mvua zisinyeshe ili mazao yakauke ng'ombe wao wapate chakula, ovyo tu. Thi, thi,thi,thi,thi ila ni wazuri kwa sura 70-70%, tabia 1-2%
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada customer care NBC

    jitahidi ndu ndugu yangu, Mungu akusaidie upate huko ila wale ni slow actor kuliko benki zote hapa Tanzania na kwingineko duniani. Hawana haraka utadhani walilazimishwa kuajiriwa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mmezidi sasa kuwaonea wachagga jamani...!!!

    mmmmmmmmmmmmmmmm?
Back
Top Bottom