Tuige hii desturi ya wachaga

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,818
18,241
Mwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia maanani, yanaweza kutuletea maendeleo kwa haraka.

Katika pitapita zangu sikuwahi kuwaona wachaga wakiwa wamekaa kwenye vijiwe au vikundi vya kupiga sogakila mtu yupo serious na kazi au shughuli inayomuingizia kipato. Kuna baa moja maarufu ambayo nilipenda kwenda kula chakula ambako pia nilijifunza jambo kuhusu kabila hili. Sikuweza kuwakuta wachaga wakilewa ovyo kama watu wa makabila mengine. Mchaga akitoka kazini hupitia baa na kunywa bia zake 2 au 3 na kisha huondoka kwenda nyumbani kujipumzisha ili kesho awahi kazini kwake kuchapa kazi bila kuathiriwa na mninginio (hangover) wa ulevi. Wachaga huwa hawakeshi kwenye mabaa wakilewa chakali. Hawana utamaduni huo hata kidogo.

Aidha, wachaga ni watu ambao wanaheshimu sana kazi. Kazi wanayoiweza na ambayo imewapa sifa sana ni biashara. Sote ni mashahidi jinsi ambavyo watu wa kabila hili wametapakaa nchi nzima wakifanya shuguli za biashara kuanzaia ya duka (Dukani kwa Mangi) hadi biashara kubwa kabisa. Hakuna mtaa katika nchi hii ambako utakosa duka la Mangi. Nadhani mazingira ya mikoa wanayotoka (Arusha & Kilimanjaro) inachangia sana kuwafanya wawe wajasiriamali na watafuta mali/utajiri. Katika mikoa hii, hakuna ardhi ya kutosha kuendesha shughuli za kilimo. Hivyo, inawalazimu kuwa wajasiriamali moja kwa moja tangu wakiwa na umri mdogo.

Wazazi wa kichaga huwarithisha watoto wao ELIMU badala ya ARDHI (ambayo hawana). Mzazi akishamsomesha mwanae hadi akahitimu chuo au kozi fulani, ndio nitolee. Usitegemee kwamba atakupa urithi mwingine zaidi ya huo hata kama ana utajiri wa kutishasahau kabisa! Hili nalo linasaidia kuwafanya watoto wa kichaga wasome kwa bidii na kufaulu vizuri. Ushahidi wa hili ni kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Mara nyingi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hufanya vizuri kila mwaka. Ndio maana wachaga wengi hushiikilia nafasi za juu serikalini na katika sekta muhimu hapa nchini. Sio kwamba wanapendelewa au kupendeleana kikabila bali inatokana na juhudi zao za kusaka elimu na maendeleao kwa bidii zao zote.

Ikiwa kila mtanzania akiiga utamaduni huu wa wachaga ni wazi kwamba nchi hii itapata maendeleo haraka kuliko tunavyotarajia. Kwa bahati mbaya makabila mengine wanaweza sana kujikweza na kujisifu (Wahaya), kukatana mapanga na kupigana vita (Wakurya), kucheza ngoma na bao (Wakwere, Wadengereko na Wakwere na baadhi ya makbila ya pwani), kujinyonga (watani zangu Wahehe), kula chamaki nchanga na (watani zangu Wamakonde na Wahehe), n.k.

Utamaduni huu wa maendeleo kutoka kwa watani zangu wachaga nimeupenda sana na ningeomba kila mtanganyika mpenda maendeleo auige.

Nawasilisha.
yield
 
Wewe kabila gani mkuu?

Acha wivu wa kijinga,. Wape sifa zao maana wanastahili,.

Sifa gani za wizi na ujambazi au unataka nikutajie wachaga kumi wenye madaraka na wanaojifanya matajiri lakini ni wezi.
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.

Utabaki hivyohivyo milele!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Lengo lajo lilokuwa kuhalalisha uhuni wa wachaga kupendeleana kwenye taasisi mbalimbali za serikali au binafsi. Huna jipya
 
Mwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia maanani, yanaweza kutuletea maendeleo kwa haraka.

Katika pitapita zangu sikuwahi kuwaona wachaga wakiwa wamekaa kwenye vijiwe au vikundi vya kupiga soga—kila mtu yupo serious na kazi au shughuli inayomuingizia kipato. Kuna baa moja maarufu ambayo nilipenda kwenda kula chakula ambako pia nilijifunza jambo kuhusu kabila hili. Sikuweza kuwakuta wachaga wakilewa ovyo kama watu wa makabila mengine. Mchaga akitoka kazini hupitia baa na kunywa bia zake 2 au 3 na kisha huondoka kwenda nyumbani kujipumzisha ili kesho awahi kazini kwake kuchapa kazi bila kuathiriwa na mning’inio (hangover) wa ulevi. Wachaga huwa hawakeshi kwenye mabaa wakilewa chakali. Hawana utamaduni huo hata kidogo.

Aidha, wachaga ni watu ambao wanaheshimu sana kazi. Kazi wanayoiweza na ambayo imewapa sifa sana ni biashara. Sote ni mashahidi jinsi ambavyo watu wa kabila hili wametapakaa nchi nzima wakifanya shuguli za biashara kuanzaia ya duka (Dukani kwa Mangi) hadi biashara kubwa kabisa. Hakuna mtaa katika nchi hii ambako utakosa duka la Mangi. Nadhani mazingira ya mikoa wanayotoka (Arusha & Kilimanjaro) inachangia sana kuwafanya wawe wajasiriamali na watafuta mali/utajiri. Katika mikoa hii, hakuna ardhi ya kutosha kuendesha shughuli za kilimo. Hivyo, inawalazimu kuwa wajasiriamali moja kwa moja tangu wakiwa na umri mdogo.

Wazazi wa kichaga huwarithisha watoto wao ELIMU badala ya ARDHI (ambayo hawana). Mzazi akishamsomesha mwanae hadi akahitimu chuo au kozi fulani, ndio nitolee. Usitegemee kwamba atakupa urithi mwingine zaidi ya huo hata kama ana utajiri wa kutisha—sahau kabisa! Hili nalo linasaidia kuwafanya watoto wa kichaga wasome kwa bidii na kufaulu vizuri. Ushahidi wa hili ni kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Mara nyingi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hufanya vizuri kila mwaka. Ndio maana wachaga wengi hushiikilia nafasi za juu serikalini na katika sekta muhimu hapa nchini. Sio kwamba wanapendelewa au kupendeleana kikabila bali inatokana na juhudi zao za kusaka elimu na maendeleao kwa bidii zao zote.

Ikiwa kila mtanzania akiiga utamaduni huu wa wachaga ni wazi kwamba nchi hii itapata maendeleo haraka kuliko tunavyotarajia. Kwa bahati mbaya makabila mengine wanaweza sana kujikweza na kujisifu (Wahaya), kukatana mapanga na kupigana vita (Wakurya), kucheza ngoma na bao (Wakwere, Wadengereko na Wakwere na baadhi ya makbila ya pwani), kujinyonga (watani zangu Wahehe), kula chamaki nchanga na (watani zangu Wamakonde na Wahehe), n.k.

Utamaduni huu wa maendeleo kutoka kwa watani zangu wachaga nimeupenda sana na ningeomba kila mtanganyika mpenda maendeleo auige.

Nawasilisha.
:yield:

fallacy
 
Sifa gani za wizi na ujambazi au unataka nikutajie wachaga kumi wenye madaraka na wanaojifanya matajiri lakini ni wezi.

Weka na wewe kabila yako kama kweli umeaga kwenu wameelimika na ndio maana wakiiba wanatumia akili na wanatoka kimaisha ulishasikia mchaga hapa bongo kaiba hereni au kakwapua simu ama kuiba kuku zaidi ya hawa wacheza bao na wizi wao wa hata nguo zilizoanikwa kwenye kamba hapana chezea muchaga wewe si saizi yako iga ufe.
 
Wewe acha upimbi huo!
Wachaga hawana akili zozote za maisha ni ushirikina tu nakwambia nenda Rombo kahesabu idadi ya matahira kule. Utashangaa
 
Mimi ni Mchaga, niliambiwa na dingi kuwa popote niendapo ni jenge, nilime na nikipata mashamba ninunuea kuwa hana kitu cha kunipa. Kwa hasira niliona kaninyima haki yangu ya urithi kumbe alinifungua akili ya kujitegemea. Nilifanya mapinduzi kwa nguvu zote. Ka-shamba ka dingi kwa sasa nakaona kama bustani ya nyanya. Ndugu yangu, kutafuniwa kila kitu ni utumwa. Uchawi ni Mungu tu, mwamini yeye utafanikiwa. Kule Moshi kuna mademu wana akili utadhani wamechanjiwa pesa.
 
Weka na wewe kabila yako kama kweli umeaga kwenu wameelimika na ndio maana wakiiba wanatumia akili na wanatoka kimaisha ulishasikia mchaga hapa bongo kaiba hereni au kakwapua simu ama kuiba kuku zaidi ya hawa wacheza bao na wizi wao wa hata nguo zilizoanikwa kwenye kamba hapana chezea muchaga wewe si saizi yako iga ufe.

iyinga acha kutudanganya juzi tumezika mtoto wa shayo alikufa kwa uizi wa simu pamoja na kukwapua pochi wananchi wenye hasira kali walimuwahi na kuummaliza, kuhusu uizi wachaga huwa hawachagui wanaiba mpaka mayai
 
Wachaga kama wale wa machame wanawake huua wanaume wao ili mali iwabakie. Wachaga wanajua sana pesa hata mtoto mdogo ni balaa hawa watu maana hawana mchezo
 
Back
Top Bottom