babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,308
Kwa jinsi WanaZanzibar wanavyoripoti Habari Zao zinati ukakasi kwa Upande wa pili wa Muungano hebu soma hii kwa kina.
FREE ZANZIBAR PEOPLE
FROM MKOLONI MWEUSI
Home
View web version
Monday, February 3, 2014
FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI
at 8:03 AM
NCHINI ZANZIBAR RAI WAWILI
WANAOSADIKIWA KUWA NI
WAFARANSA WAMEULIWA NA
KUFUKIWA KATIKA KISIMA CHA MAJI
JE PASPOTI ZITARUDISHWA ILI WAJULIKANE
WANAOINGIA NCHINI MWETU ZANZIBAR AU NDIO
MUUNGANO FEKI UDUMU WANYATURU WANAINGIA
WATAKAVYO WAKIUWA WATAKAVYO NA KUIBA
WATAKAVYO ATI NCHI HII INA MAMLAKA KAMILI TOKA
1964 YAGUJUUU SEMANI KWELI KUWA NCHI HII
IMEFANYWA JAAA LA KILA MACHAFU TOKA MWAKA
1964 HUO NDIO UKWELI WA MAMBO.
Nchini Zanzibar ni Aibu na masikitiko makubwa ya
kuliwa wafaransa wawili. Kikosi cha Zimamoto na
Uokoaji (KZU) na Polisi wa MKOLONI MWEUSI
TANGANYIKA wamefanikiwa kuvunja zege lililokuwa
limejengwa kufunika kisima walichotupwa raia wawili
wa Ufaransa, baada ya kuuawa na kupata sehemu za
miili yao ikiwamo fuvu la kichwa.
Ikielezwa kwamba waliotekeleza unyama huo walilenga
kupora nyumba na kiasi kikubwa cha fedha
walichokuwa nacho Wazungu hao.
Akizungumza na Mwandishi wetu wa siri jana,
Mkurugenzi na Makosa ya Jinai nchini Zanzibar (DCI)
Yussuf Illembo, alisema kuwa hadi jana mchana,
mifupa miwili ya mapaja, fuvu la kichwa na miwili ya
mbavu imepatikana kutoka ndani ya kisima hicho.
Alisema kwamba Kikosi Kazi cha Uokoaji kinaendelea
kufanya kazi eneo hilo la Matemwe lililopo Shehia ya
Kaskazini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Kazi bado ni ngumu, tunaendelea kuzamia ndani ya
kisima na itakapokamilika tutatoa taarifa. Tuacheni
kwanza tufanye kazi hii nzito na ngumu kwa wakati
huu, aliomba DCI Illembo.
Zoezi hilo lilifanyika huku likishuhudiwa na ofisa mmoja
wa Ubalozi wa Ufaransa nchini na kuelezwa kuwa
marehemu hao walinunua eneo la ardhi na nyumba kwa
Sh150 milioni kwa kutumia jina moja la mzawa wa nchi
ya Zanzibar, kutokana na sheria kutoruhusu wageni
kumiliki ardhi nchini humo Zanzibar.
Watu hao, Francios Chererobert Daniel , aliyekuwa
mtumishi mstaafu wa ngazi za juu wa Serikali ya
Ufaransa na mkewe Brigette Mary, walipotea tangu
Desemba 27 mwaka jana.
Baadaye taarifa za kupotea kwa watu hao zilifikishwa
Polisi ndipo msako wa kuwatafuta ulipoanza na
baadaye kugundulika kuwa, kuna watu wameuawa na
miili yao kutupwa katika kisima cha maji kilichopo
ndani ya ua wa nyumba hiyo.
Hata hivyo, baadhi ya waokoaji na mashuhuda wa tukio
hilo, walimuambia Muandishi wetu kwamba sehemu
hizo za mwili zinazosadikiwa kuwa za Wafaransa hao,
zimefukuliwa baada ya kazi kubwa ya kuvunja zege
kwa kutumia mashine maalumu inayofanywa na Kikosi
cha Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na wakazi
wa eneo hilo zege ambalo inasadikiwa lilimwangiwa juu
ya maiti hizo baada ya kuuliwa.
Tumefanikiwa kutoa sehemu ya miili, imehifadhiwa
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, alisema mmoja wa
mashuhuda ambaye alitaka jina lake lisiandikwe.
Alisema kuwa kazi ya kuvunja zege hilo ilikuwa ngumu,
walilazimika kuwachukua vijana wengine raia wa
kawaida ili kuifanikisha.
Akielezea mazingira waliyokutana nayo chini ya kisima
walichotupwa Wafaransa hao baada ya kuuliwa,
alisema kuwa baada ya zege kuvunjwa walikuta nguo
nyingi zimejazwa chini yake na juu yake kujengwa zege
hilo kabla ya kumwagwa saruji isiyochanganywa na kitu
ili kufunika kisima kwa lengo la kupoteza ushahidi.
Hata hivyo, vyanzo vya habari vinaeleza kuwa zoezi hilo
lililazimika kusitishwa kutokana na sehemu ya chini ya
kisima kupita mkondo wa maji ya bahari, hivyo
kulazimika kutafuta mashine ya kuvuta maji nchi
imefisidika mpaka hai hata mashine ya kuvutia maji
inasikitisha sana alisema mashuhuda moja.
Kazi hiyo ikiweza kufanyika ndipo tutakapoweza
kwenda katika kina kirefu zaidi cha kisima hicho ili
kukusanya mifupa. Tukipata idadi ya mifupa na mafuvu
yote, tutaweza kujua waliouawa ni wangapi, kilieleza
chanzo kimoja kingine.
Habari zilizopatikana zinaeleza kuwa siri ya mauaji
hayo ni baadhi ya watu wasio julikana kama ni
Wazanzibari au ni Mijitu yakutoka nchi nyengine iliyo
jaa humu nchini mwetu Zanzibar kwa faidi ya
MUNGANO FEKI na MAPINDUZI DAIMA kutaka kupora
nyumba, waliyokuwa wakiishi Wafaransa hao pamoja
na fedha zinazodaiwa walikuwa nazo raia hao wa
kigeni wakitaka kununua eneo la kujenga hoteli kwenye
ufukwe wa Urowa.
Inelezwa kuwa kabla ya kuingia nchini Zanzibar,
Wafaransa hao walifikia Nairobi nchini Kenya ambako
walitaka kujenga Hoteli lakini inadaiwa kuwa mmoja wa
wanasiasa wakongwe nchini humo aliwashauri kuja
nchini Zanzibar kuishi na kuwekeza maana Zanzibar
hakuna cha sheria pesa yako tu basi mambo poa.
Taarifa zaidi kutoka ndani ya Jeshi la Polisi la
MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA zinaeleza kuwa
mazingira ya tukio hilo yanaonyesha kuwa kabla ya
watu hao kuuwawa, mbwa wao aliyekuwa akifahamika
kwa jina la Allan, alipewa chakula chenye sumu na kufa
na kwamba sehemu ya mabaki ya chakula hicho
yaliliwa na mbwa wa jirani ambaye pia alikufa huu
kweli ni uchunguzi hata mtoto wa darasa lapili
anaweza kujuwa uchunguzi huu.
Aidha, mifuko mitupu ya saruji inayosadikiwa kutumika
katika ujenzi wa zege la kisima hicho, imeokotwa
nyuma ya ukuta wa nyumba hiyo waliyokuwa wakiishi
Wafaransa hao.
MZEE ABEID AMANI KARUME
OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
JULIUS NYERERE BABA WA WATANGANYIKA
OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
AFRO FISADI INAENDELEA KUIFISI
ZANZIBAR,WAZANZIBARI NA WAGENI
OYEEEEEEEEEEEEEEE.
MAPINDUZI DAIMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
MUUNGANO FEKI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
MUKIONA TUNAWAUWA SANA HAMENI
OYEEEEEEEEEEEEEE.
NCHI HII INA MAMLAKA KAMILI TOKA MWAKA 1964
OYEEEEEEEE.