habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
wapinzani waache kutishia watu na bastola
waache kumwagia watu tindikali
waache kumwagia watu tindikali
Juzi Waziri wetu wa Mambo ya nje aling'aka alipoulizwa swali hili. Leo linaulizwa kwenye forum kubwa ya kidunia. Rais kajibu lakini naona majibu yake yataleta tafrani zaifi. TusubirI mfuatilio wa wana habari.
Aibu ipi hasa?Jk katia aibu sana...
JK amesema yeye kama Rais pension benefit zake haziwezi kutosha kulipa faini hiyo, sasa huyu Mzengi akopeshwe atalipa katika settlement plan ipi?Nimeshindwa kuelewa hiyo kesi ilimhusu jamaa yeye kama yeye au serikali, au serikali inaingiaje kwenye liabilities za huyu jamaa. Au wamemlipia wamempa mkopo analipa kidogo kidogo?
Bora hiyo maana kama Rais angekuwa Bush ingeitwa "Bush Road".
ungesikiliza vizuri kajibu na kwa maelezo ya kistaarabu kakiri kuwa wanaspy na pia kueleza kuwa nchi zote zikiwemo za ulaya na asia wanafanya hivyo hivyo.Na Obama pia hajajibu kama ni kweli US wanaspy EU!....Kalipotezea hilo swali
Jk mtupu vibaya sana yaaani haelewi kitu mweee aibu
Thubutu ukute Marekani eti barabara hata iliyochokachoka iitwe DHAIFU Jakaya Mrisho Kikwete...Sisi kwa kujigonga gonga banaaaa!!!!
Thubutu ukute Marekani eti barabara hata iliyochokachoka iitwe DHAIFU Jakaya Mrisho Kikwete...Sisi kwa kujigonga gonga banaaaa!!!!
Hilo la kukuta umati wa akina mama wamejaza sura yake makalioni tu lazima alitungie kitabu, jee hili la kupewa barabara inayoingia Ikulu!
SMH
Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa Demokrasia sio kwenye uchaguzi tu ila ni pamoja na kushirikiana na wapinzani ikiwa ni pamoja na sauti na maoni yao kusikilizwa bila kupuuzwa.
Alisema hayo jioni hii Ikulu Dar es salaam wakati akijibu swali la waandishi wa habari.
Heko OBAMA. MASSEGE SENT.
Wa Marekani, ndiyo wenye interest na habari hii it sWana Habari gani?....
Jk mtupu vibaya sana yaaani haelewi kitu mweee aibu