Recent content by Nana brain

  1. Nana brain

    Natafuta soko la Mayai ya Kienyeji

    Kumbe nutrition ni maganda na ukubwa wa yai siku hizi. Unajielewa kweli mkuu Ukisikia mayai ya kisasa ni ya kisasa kweli yaani unakula kemikali tupu mkuu lakini ukisikia mayai ya kienyeji ni kienyeji yaani ni natural tupu mkuu.
  2. Nana brain

    Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

    Hata mimi ningekukimbia kinyesi ndugu yangu Hivi kumbe bado kuna watu wanakuwa wababa wazima hawajatailiwa? Kwamba mila?,Elimu yako ni Elimu gani mkuu inaonekana upo kienyeji sana.
  3. Nana brain

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Wapendwa naombeni kujuzwa nauli ya kutoka Dar Mpaka Morogoro na pia kutoka Morogoro mpaka Ifakara. Namaanisha nauli ya basi, basi la kawaida
  4. Nana brain

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    [emoji3] [emoji3] kwa hyo wenye vibamia chupi kubwa zihusike
  5. Nana brain

    Prison breake vs into the bad land

    Ni series sio muvi na ni break sio brake By the way Prison break ni kitu cha kipekee hakuna mfano wake, zitakuja nzuri lakini Prison break itaendelea kusimama
  6. Nana brain

    Ndoto yangu ya Urais itakapotimia

    Wanaosemaga mara nyingi huwa hazitimii You'll never get it if you want it too much Mute. Relax, as nothing else is going on but don't forget to act
  7. Nana brain

    Ndoto kama hii INA maana gani?

    Mtu akikijengea nyumba inaweza maanisha kuwa ni kufa na hivyo ataishi kwenye myumba yake ambayo ni kaburi
  8. Nana brain

    Ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. Nana brain

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Tatizo ni kwamba wote hatutakuwa mabillionare [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] sijui nini kinatokeaga
  10. Nana brain

    Watanzania 11 wapandishwa kizimbani kwa ubakaji Afrika Kusini

    Ilikuwaje wanaume 11 wakawa wanatembea pamoja! Then wote Watanzania!
  11. Nana brain

    Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

    Tangia lini tena tunafananishana as long as policy za nchi zinatofautiana! Tunashea jina shillingi lakini pesa zetu hazifanani, kama hisa kwenu ni biashara iliyojuu, umewahi kuchunguza ya Tanzania? And also is Safaricom related to Vodacom in any business matters?
  12. Nana brain

    Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    Wapi wanagawa ardhi bure ili nami nijiajiri kwenye kilimo? Maana mtaji si pesa tu ati
  13. Nana brain

    Navumilia mateso ya moyo kwaajili ya mtoto wangu

    Feel free to feel what you feel, it's good for health. Never stay in a toxic relationship no matter what, hata kama ni mtoto, tafuta njia ambayo ataweza exist bila we kuumia
Back
Top Bottom