Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

Pole sana mkuu hilo tatizo ni kubwa. Muombe Mungu akupe mke mvumilivu.
 
Habari, nawasalimu,

Barua yangu ni fupi tu kwenu,

Nimekua rafiki yenu hapa kwa Muda sasa, na nimeandika hapa mara kadhaa kwa mambo mbali mbali, hata hivyo tatizo hili sijawahi kulisema kwa aibu, sasa nimeona kama vile linaendelea nimeona niliseme ili nipate msaada.

Ni kwamba, nikiwa na mwanamke kitandani, wakati nafikia mshindo lazima vipingili vya haja kubwa vitoke kama mavi ya mbuzi yanavyokua na kila bao inakua hivyo, siku za nyuma wasichana wengi niliokua nao hawakufahamu hili, nilikua nikijificha ficha sana, na mara nyingi mimi hupendelea kufanya usiku, ila wapo walioniona na kunikimbia.

Shida inakuja kwa sasa ninaishi na mwanamke kupika na kupakua ingawa hatujafunga ndoa, kwa Muda tuliokaa nae ameshaligundua tatizo hili na linamkera sana, na hali sasa si nzuri, nashindwa kumuelewa huyu mwanamke sababu mwanzo tulipoanza mahusiano alidai hawezi kuendelea na mimi kama nisipotahiriwa, tutagombana sana, nikalazimika kukiuka mila nikatahiriwa, hili tatizo lingine tangu mwanzo analijua pia na tulikubaliana tutasaidiana kupata ufumbuzi, cha ajabu sasa hivi amebadilika kabisa, kwamba ni kero kubwa kwake, na kwamba nisipotafuta ufumbuzi eti nisimlaumu

Wadau huyu mtu ananipenda kweli? Au anatafuta sababu ya kunikimbia? Tatizo dogo tu hivi linaweza kufanya mtu anaekupenda akakukimbia?

Na je kuna mwingine humu amewahi kupata shida kama hii yangu?

Maana huwa ninachukua Muda mrefu sana kumaliza mshindo mmoja na nikifika mwisho lazima haja itoke kidogo.

Kuna anaejua dawa ya tatizo hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Je ukipiga master bado yanatoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh pole sana mkuu! Hebu uwe unarelax unapota wareno usijikaze sana acha muscles ziwe kawaida na pia hakikisha umeenda chooni kutoa haja zote kabla ya tendo! Halaf make sure unaconcetrate kwenye tendo ili uwahi kutoa wareno! Some time wadada huwa wanakereka na mtu ambae anachelewa sana mkuu!
 
Kuna watu Wana homa za ajabu ajabuuu!
Daaah.
 
Mh..!
Mbona hakuna uhusiano kisayansi, kwa sababu kupeez ni kunasababishwa sympathetic stimulation na kunya kunaongozwa na parasympathetic stimulation. Yaani hivi vitu viwili havikai katika level sawa upande mmoja nilazima uwe juu mwengine uwe chini, ni sawa na ule mzani wa kupimia kwa kueka mawe ya uzito.
Kwa hio Pale unapopiga bao kule nyuma kunatakiwa kufunge, ila ukimaliza ndio kufunguke.
Hapo labda ungefafanua hicho kinyesi kinatoka sambamba na na bao au linaanza bao ndio kinafuata kinyesi ili wataalamu waweze kukusaidia vizuri zaidi.

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush

Unauzoefu kweli kweli
 
Mkuu pole sana.
Mungu akupe wepesi tatizo lako lipate ufumbuzi
 
Hata mimi ningekukimbia kinyesi ndugu yangu
Hivi kumbe bado kuna watu wanakuwa wababa wazima hawajatailiwa? Kwamba mila?,Elimu yako ni Elimu gani mkuu inaonekana upo kienyeji sana.
 
Hebu weka wazi ukweli kuhusiana na hilo tatizo lako, ilikuwaje mpaka kufikia hatua hiyo, au ulikuwa ukifanya amali gani hapo kabla ya tatizo

Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush
Mhhh uko vizuri kwenye uzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi kabla ya meng'enyuka uende ukanye kwanza,maana wakati una maliza misuli ikilegea kuruhusu mavi kutoka,yataku hakuna kitu,,,ni pumzi tuu itatoka kaka.

Ila pole
 
Back
Top Bottom