Prison breake vs into the bad land

Prison breake vs into the bad land

Ni series sio muvi na ni break sio brake

By the way
Prison break ni kitu cha kipekee hakuna mfano wake, zitakuja nzuri lakini Prison break itaendelea kusimama
 
The vikings., is the best
the vikings kama wewe huzipendi epics huwezi kuichangamkia..ila naipenda sana..kwanza vile ragnar alikufa like a real king nlipenda sana ukakamavu wake...pia atlantis iko vizuri
 
the vikings kama wewe huzipendi epics huwezi kuichangamkia..ila naipenda sana..kwanza vile ragnar alikufa like a real king nlipenda sana ukakamavu wake...pia atlantis iko vizuri

November hii naisubir kwa hamu zote season 5 ni hatar...!! Regnar Lothbrok ndo lilikua jembe langu mule.,,kwaa alivyokufa vile nimehamishia majeshi kwa Queen Lagather...!! Mwanamke wa ukweli., Nikipata mke ka yule unarelax maisha ushawinny tayar coz ni mwanamke asiyejijua ka yeye ni mwanamke...!!
 
Inahusu nini mkuu
inahusu grimm(mtu mwenye uwezo wa kuona binadamu wenye uwezo wa kujibadilisha na kuwa na sura mbalimbali hivyo kupata nguvu zisizo za kawaida).inasadifu kuwa huyu grimm ni mwanapolisi katika kitengo cha detectives hivyo huhusika sana na uchunguzi katika mabaya yanayofanywa na hao binadamu wenye huo uwezo wa kujibadilisha(wesens)....we itafute..nakuhakikishia utaipenda sana..yani hutaki kukosa kuitazama...tena sio ya kutisha kama muvi zingine ukizitizama huwezi kupata usingizi
 
Itabidi niisake sio kwa hilo trailer
 
Unafananisha mashudu na mbegu.

Yaani Into the Bad land Watu wanapigana wanaruka Juu Kama Ndege.. serious na mtu unaifurahia .

Prison Break ni tamu, and reality, katafute na Breaking Bad.
Jaribu kuangalia series zenye akili, by the way sijui ww ni nani but Kama teneger kaangalie tu hiyo Bad land.
Hiyo Breaking Bad hata sio nzur
 
Kama unataka mkono then "Into the Badlands" inahusika

Kama unataka series yenye matumizi ya akili, ujasusi na intelijensia basi hujakosea kutazama Prison Break, by the way zile season za mwanzo za Fox River bado ni bomba kuliko za Sona au hii season 5...

Season five hatari sana
 
Heeeeeee
Yan unafananisha fimbo na panga????
 
Breaking Bad kitu kingine jaman duhhhh noma sana wale ma drug dila wapitie hili zaga,,,....
Yah ni nzuri.....lakini si kwa kuifananisha na prison break....au we umefananisha ktk mkono/ngumi tuuu?????
 
Watu wana divert sledi kweli ndio maana wengi wetu ni makinikia tu vichwani duh! ....Badlands vs P/Break =Viking
 
Back
Top Bottom