Nahitaji kwenda mtwara npo mbeya kama kuna njia ambayo sio ya kupitia dar mwenye kujua naomba anijulishe japo safar yangu ni mwezi ujao mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
pitia songea mkuuNahitaji kwenda mtwara npo mbeya kama kuna njia ambayo sio ya kupitia dar mwenye kujua naomba anijulishe japo safar yangu ni mwezi ujao mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yerewiiii mkude simbaaaKwani kwenda orogoro kwa mguu ni shingapi?
Chukua gari hadi Songea(Songea hadi Makambako-180km,Makambako-Njombe 60km,kisha Njombe to Songea kama 230km,Hapo utakua umetembea kama 460km ambao ni umbali wa Dar to Dodoma au Lindi. Kisha kesho yake Chukua gari la Songea kwenda Mtwara(ambapo ni Namtumbo,Tunduru hadi Masasi ni kama 430km) na kutoka Masasi hadi Mtwara ni kilometa 201 hivi.Nahitaji kwenda mtwara npo mbeya kama kuna njia ambayo sio ya kupitia dar mwenye kujua naomba anijulishe japo safar yangu ni mwezi ujao mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaha mkuu kula tanoChukua gari hadi Songea(Songea hadi Makambako-180km,Makambako-Njombe 60km,kisha Njombe to Songea kama 230km,Hapo utakua umetembea kama 460km ambao ni umbali wa Dar to Dodoma au Lindi. Kisha kesho yake Chukua gari la Songea kwenda Mtwara(ambapo ni Namtumbo,Tunduru hadi Masasi ni kama 430km) na kutoka Masasi hadi Mtwara ni kilometa 201 hivi.
Hivyo MbeyA Songea-460+km,Songea Mtwara kama 640±km, Jumla ni kama 1100km ambao ni karibu umbali wa Dar to Mwanza na au Dar to Tunduma(Ikiwa jirani kidogo)
Ama kwa plan B ya kupitia Dar ndiyo route ndefu zaidi. Kwa maana Mbeya-Dar ni kilometa 890(soma 900) na Dar Mtwara ni 560±km,hapo tayari ni kilometa kama 1400±kilometa. Ni parefu.
Bahati nzuri route ya Mtwara to Songea ina magari almost manne kila siku kwa ujumla. Kuna linaloanza saa12 na la saa4 asubuhi kwa kila upande. Ukipanda la Saa4 unafika Songea au Mtwara saa2 usiku.
Hivyo naona kabisa inawezekana route ya Mbeya to Mtwara ikaanzishwa na gari likafika saa3 usiku.
Kwa sababu gari likitoka Mtwara linafika Songea saa9 jioni,na kwa vyovyote,likitoka pale Songea linaweza kuingia Makambako saa12 jion au saa1 usiku,na pale Makambako to Mbeya ni masaa mawili tu. So kama kuna wamiliki wa mabasi wanaweza kuanzisha route hii abiria wapo wengi sana,na hapo lengo la Mtwara Corridor litatimia rasmi.
andaa nauli kama 60000Nahitaji kwenda Nairobi ila ningependa kupitia mombasa naomba kujua waliowahi kupitia huko inatakiwa nijiandae nabei gani hela nauli
Sent using Jamii Forums mobile app
saa7 na nusuHakuna bus linalopaa siku hizi...panda lolote mtafika saa saba usiku
Sent from my TV
Te te te hilo la kuchaji simu ndo la msingi siku hizi!japo tunakoelekea tutaanza kubeba chakula maana si kwa hotel wanazotupitisha...saa7 na nusu
apande Dar Lux au Star bus achaji simu.
asisahau kwenda na Line ya vodacom
Sent using Jamii Forums mobile app