Recent content by Mwita Malanya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kaka unafanya “Sikirabu''?!

    Anachosema mlata mada ni kweli kabisa, ukikataa hizo huduma zao zingine wanakununia kweli mimi binafsi huwa sipendi kushikwa na hao wadada
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitu 10 ambavyo wanawake wamewazidi wanaume

    Ni kweli kabisa ila hapo kwenye namba 10 nina mashaka!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yupi anastahili huruma kati yao?

    C anastahili kwa sababu ni mgonjwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya NBC Mobile Banking

    Mkuu inategemea na branch ulipojazia hizo form, siwatetei ila mimi nilipata huduma hiyo within one day NBC branch ya Lindi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katuni za Gado: Uchaguzi wa Zanzibar

    Gado ni cartoonist wa kitambo sana tena ni Mtanzania anayefanyia shughuli zake Nairobi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mr. Blue na Baki na Mimi

    Blue yuko vizuri Sana, binafsi huwa sichoki kusikiliza nyimbo zake mfano PESA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Makonda wa kike

    Mbona washaanza kitambo, huku Lindi kuna wadada wanaendesha boda boda vizuri tu! ila hawaendeshi zaidi ya saa 12 jioni.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. John Magufuli amuapisha Balozi Eng. John Kijazi

    Hayo ni mabadiliko ya kawaida tu kwenye system, usikute OS hana kinyongo na hiyo situation coz inavyoonyesha ilikuwa planned before na yy alishajiandaa na hayo mabadiliko
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ruangwa mkoani Lindi umeme ni jipu kubwa

    Mimi nipo Lindi mwaka wa tano sasa, umeme na maji huku ni Kama dhahabu! ni shiiida!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amrudisha nyumbani Balozi wa Afrika Kusini

    Hivi hawa mabalozi huwa wanakuwa na vipindi maalum vya uongozi wao?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tupac's Not Dead! Suge Knight Fuels Conspiracy Theories

    Kuna documentary inaelezea jinsi vifo vya PAC na Big vilivyotokea na consiparacy stories behind, Suge anahusika kwa namna moja kwa sababu inasemekana Tupac alikuwa na mpango wa kujitoa kwenye lebel ya Death Row kitu ambacho Suge alikuwa hakubaliani nacho.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tupacmania: Nyimbo gani ya 2pac unai-feel deep down!

    Kuna hii inaitwa Only God can judge iko poa sana ila kwa kweli jamaa alikuwa na nyimbo nzuri nyingi sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Milionea mtoto akamatwa, Polisi washikilia baadhi ya mali zake

    Mwaka huu watakamatwa wengi Sana, Serikali hii haerembi na haina masihara kabisa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro, Yanga Haina Fedha Anazo Manji

    Kula like za kutosha mkuu!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mchina mpelekeni Kilakala muone kwanini tunataka ada elekezi na Prof. amekaa kimya!

    Kinachotakiwa ni Serikali kuboresha shule zake ambazo ni kimbilio la watanzania wengi na iachane na private schools coz hata hiyo ada elekezi watakayoweka kuna watanzania wengi watashindwa kulipa
Back
Top Bottom