Vitu 10 ambavyo wanawake wamewazidi wanaume

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Vitu 10 ambavyo wanawake wamewazidi wanaume;

1. Wananguo nyingi kuliko wanaume.

2. Wanafahamu nani ni baba halisi wa watoto wao.

3. Ni wepesi kupenda na wakipenda hupenda kweli.

4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku.

5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huwa inawaponza.

6. Wana uwezo wa kubadilisha tabia ya mwanaume muda wowote.

7. Wana uwezo wa kuishi na kupendeza bila kuwa na kazi wala biashara yoyote.

8. Kwao nywele na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria wakitaka kutoka.

9. Wana uwezo wa ku- pretend kwa muda mrefu zaidi hasa kwenye mapenzi.

10. Hawapendi pesa

Ndugu zangu hiyo number 10 imekosewa wanawake wanapenda pesa kama walizaliwa nazo. Eti wanawake munapenda pesa?
 
hii unatuhusu wanaume WA dar tu nyie wa kijijini ambao kuoga mpaka muende mtoni kaa mbali na hapa
 
hii unatuhusu wanaume WA dar tu nyie wa kijijini ambao kuoga mpaka muende mtoni kaa mbali na hapa
Bahati nzuri yako uzi kumbe wa miezi ya shetani nilitaka nikufanye hamna.
 
Back
Top Bottom