Katuni za Gado: Uchaguzi wa Zanzibar

Katuni za Gado: Uchaguzi wa Zanzibar

Magazeti mkuu. Niko Tz. Kwa magazeti ya tz anapatikana gazeti gani?

Nadhani yupo Kenya, ila ni Mtanzania ambaye anafanya kazi Kenya. Sina hakika sana labda watasaidia wengine mahali alipo kwa sasa.
 
waandishi fari_ni_Safari, post: 15656212, member: 6357"]wa

Hii ndio iliyosababisha Gazeti la East African kufungiwa[/QUOTE]


Sina hakika sana na sababu uliyoitoa ya kufungiwa gazeti hilo. Ila waandishi wengi wa Tanzania walimshambulia sana kwa katuni hii pamoja na ile katuni iliyowaonyesha waandishi wa habari wa Tanzania wakilamba miguu ya Jk. Sababu kubwa ya kufungiwa kwa gazeti hilo ni ile kwamba gazeti hilo lilikuwa lina-operate illegally hapa nchini. Lilikuwa halijaandikishwa. Sasa nadhani tayari limeandikishwa na ndiyo maana limeruhusiwa kurejea.
 
sasa mbona inaonyesha cuf , amefungwa kamba wakati amesusia mwenyewe , nadhani alihitaji kuongeza ubunifu zaidi ya hapo ili kukidhi halihalisi ya hapo

Kufungwa kamba kwa Maalim na kutandikwa nafikiri Gadu alikuwa akimaanisha kuwa fisiem wametumia mabavu katika uchaguzi huu haramu ili kujipatia ushindi, kitu ambacho ni maigizo (kinyume na sheria).
 
waandishi fari_ni_Safari, post: 15656212, member: 6357"]wa

Hii ndio iliyosababisha Gazeti la East African kufungiwa


Sina hakika sana na sababu uliyoitoa ya kufungiwa gazeti hilo. Ila waandishi wengi wa Tanzania walimshambulia sana kwa katuni hii pamoja na ile katuni iliyowaonyesha waandishi wa habari wa Tanzania wakilamba miguu ya Jk. Sababu kubwa ya kufungiwa kwa gazeti hilo ni ile kwamba gazeti hilo lilikuwa lina-operate illegally hapa nchini. Lilikuwa halijaandikishwa. Sasa nadhani tayari limeandikishwa na ndiyo maana limeruhusiwa kurejea.[/QUOTE]Na uendelee kuamini hivyo bali ukiendelea kufuatilia uzi huu utaujua ukweli. Nation wamepata loss kubwa sana kwa kufungiwa Tz karibia mwaka na hiyo ya kutokamilisha taratibu ni story za vijiwe vya ghahawa!
 
GADO MCHORAJI MGENI??????????????????? OK inaonesha ni ndugu yangu wa juzi juzi tu hapa au pengine wakati Gado anachora ulikuwa mbali na jiji au mdogo sana. GADO NI MKONGWE. ni hatari kwa michoro na mara nying ameingia kwenye migogoro na serikali kwa ajili ya uchoraji wake.

Atakuwa mchoraji mgeni kwenye tasnia.

Kazi nzuri amefanya.
 
Dce-07-15-JPM-M7-and-Uganda-1024x724.jpg
 
Ako very critical, ni vigumu sana kumpublish, juu atakera uongozi na kukusababishia ufungiwe. Hata Nation ya Kenya ilibidi wampumzishe

Kiswahili gani hiki umeandika?! Hakuna kitu kinaitwa 'ako' na 'atakera'. Nahisi wewe ni Mkenya au Mganda. Hebu nijaribu kusahihisha kidogo kwa heshima yako na JF:

'Yuko very critical, ni vigumu sana kutumia habari zake kwani huwashambulia viongozi na hasa wa juu kwa habari zake na ambazo zinaweza kusababisha gazeti lifungiwe. Hata gazeti la Nation la Kenya ilibidi waachane naye'.

Nimejaribu tu kufanya tafsiri ya kile ulichotaka kusema, naweza kuwa siko sahihi sana.
 
Kufungwa kamba kwa Maalim na kutandikwa nafikiri Gadu alikuwa akimaanisha kuwa fisiem wametumia mabavu katika uchaguzi huu haramu ili kujipatia ushindi, kitu ambacho ni maigizo (kinyume na sheria).



Nahisi amechanganya Yaliyotokea Zanzibar na Yale yaliyowapata wa uganda huyo alofungwa kamba anafanana pua na Besigye ahahahahahhaha
 
GADO MCHORAJI MGENI??????????????????? OK inaonesha ni ndugu yangu wa juzi juzi tu hapa au pengine wakati Gado anachora ulikuwa mbali na jiji au mdogo sana. GADO NI MKONGWE. ni hatari kwa michoro na mara nying ameingia kwenye migogoro na serikali kwa ajili ya uchoraji wake.
Hee??
 
unapoona zec ina mkono mmoja na haina miguu imenyoosha mkono wa ccm maana yake nini? ni hivi zec yenyewe inategemea ccm ili iweze ku operate. yaani haipo huru kwa kumnyanyua mkono ccm hata zec nayo ndo ipo juu na kama isiposhikiria mkono wa ccm itandoka maana haijasimama viungo vyake vingine havipo. na huu ni mgawanyiko ulioko zec baada ya kufuta matokeo ya kwanza.

so zec si huru na zec haipo kamili. na pia ili ionekane imesimama inabidi ishikirie mkono wa ccm. so ccm imejinyoosha yenyewe mkono kwa maana ya kwamba imejitangaza yenyewe mshindi huku zec ikiwa inaning'inia tu ila haina nguvu.


View attachment 332019 Msanii Gado sasa atakuwa akichora kwa ajili ya DW. Hii hapa kazi yake ya kwanza kuhusu uchaguzi wa marudio Zanzibar.
Source: DW Whatsapp
 
Ukiona mtu anashangaa uwepo wa Gado katika tasnia ya katuni basi yamkini atakuwa mwanafunzi wa sekondari sasa au ni msomaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda.

Gado ameondoka lini nchini kwenda kufanya kazi zake huko?

Labda tuanzie hapo.
 
Kweli huyu ni zaidi ya msanii...Picha hii ukiamua kuijadili, hakika unaweza kuandika kitabu kabisa. Mfano, Tizama nyuso za wale mashabiki nje ya ulingo kwa ukaribu zaidi. Tizama body morphology za mabondia ( wa fisiem na wa cuf ) , n.k.
Fantastic kwa kweli.
 
Back
Top Bottom