Muda si mrefu wanawake watavamia kuendesha boda boda pia. Ni fursa sawa kwa wote.
Muda si mrefu wanawake watavamia kuendesha boda boda pia. Ni fursa sawa kwa wote.
ila tatizo la hawa wadada makonda ni kujivika udume flani hivi. wawe tu wanawake kawaida
Ni upepo tu unapita...dawa yao kuwapiga mimba tu watuachie kazi zetu
Angalau kuliko kwenda kujiuza, ila sasa hatari ni pale wakapoanza kupuliza Ban...i nahisi hali itakua mbaya. Sitamani wafikie huko tu.
Wanalea saa ngapi watoto?
Waume zao wakibandua mabeki tatu wasilalamike,maana wanawaachia fursa wenyewe.
ni kweli aisee. ila sijui mwitikio wake utakuwaje
Mbona washaanza kitambo, huku Lindi kuna wadada wanaendesha boda boda vizuri tu! ila hawaendeshi zaidi ya saa 12 jioni.Muda si mrefu wanawake watavamia kuendesha boda boda pia. Ni fursa sawa kwa wote.
Empowering women to achieve gender parity!sasa wameongezeka kweli. karibu kila daladala nayopanda anakuwepo. ni uaminifu, mabadiliko au kuna jigine?