Rais Magufuli amrudisha nyumbani Balozi wa Afrika Kusini

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
2.jpg

Rais Dk. John Magufuli, amemrudisha nyumbani aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya, pamoja na watumishi wengine watano, baada ya muda wao kumalizika.

Hii ni mara ya pili kwa Rais Dk. Magufuli kuwarejesha nyumbani Mabalozi wa Tanzania walioko nchi za nje baada ya muda wao wa mkataba kumalizika.

Ikumbukwe kuwa Januari 25, mwaka huu, Rais Magufuli alimrejesha nyumbani Balozi wa Tanzania aliyeko London, Uingereza, Peter Kallaghe, kuja kufanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Dk. James Msekela na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Dk. Batilda Buriani, baada ya mikataba yao kumalizika.

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga, amesema kurudhishwa nyumbani kwa Balozi Msuya, ni jambo la kawaida kwa sababu bado kazi ya kuwarudisha nyumbani Mabalozi waliomaliza mikataba yao linaendelea.

Alisema kwa sasa serikali inachofanya ni kuwarudisha nyumbani Mabalozi ambao mikataba yao imemalizika na kuwapeleka watumishi wengine wakapate uzoefu nje ya nchi.

Alisema kuna makundi matatu ambapo kundi la kwanza ni watumishi wa idara ambao muda wao wa miaka mitano umemalizika ambao wanarudishwa nyumbani ama kuhamishiwa kituo kingine cha kazi.

Alisema kundi la pili ni la Mabalozi ambao siyo watumishi wa wizara, lakini waliteuliwa na Rais kwa mkataba, hivyo mikataba yao ikimalizika Rais mwenyewe ndiye anayeamua kama ni kuwaongezea au kusitisha na kurudi nyumbani.

Dk. Mahiga alitaja kundi la tatu kuwa ni Mabalozi ambao muda wao wa kukaa nje umemalizika au umri wao wa kustaafu umefika, lakini mikataba yao bado haijamalizika, hivyo Rais anaamua kuwarudisha nchini ili wapumzike na wengine wakashike nafasi zao.

Alisema kuna Mabalozi ambao mikataba yao ya kufanya kazi nje ya nchi ni miaka mitano, lakini wamekaa zaidi ya miaka 10, hivyo serikali iko katika mchakato wa kuwarudisha nyumbani.

Waziri Mahiga alisema kuna vituo zaidi ya 35 ambavyo vinatakiwa kuwa na Mabalozi, hivyo serikali itahakikisha inawarudisha nyumbani mabalozi waliomaliza muda wao wa kazi na kupangiwa majukumu mengine.

Chanzo:
Mpekuzi Blog
 
Duh huyumama so atadata jaaman alivyozoea huko loh
 
kwanini tunapewa taarifa ya kurudishwa Balozi nyumbani hatuambiwi kama kabolonga?
 
Kumbe alikuwa ni Msuya family ndo maana dawa za kulevya zikageuka mali gafi ya kutengeneza madawa!

Na warudi tu wengine waende
 
Vijana wapi unawazungumzia? Akina Migiro, Dau na wenzao?!
Umeua mkuu, lakini pia ingekuwa sahihi kama angesema damu mpya na si vijana huu ubaguzi wa umri ni jipu, kama mtu hajafikisha umri wa kustaafu na akaonekana ni mzuri kwanini asipewe nafasi? wapo baadhi ya vijana pamoja na udamu changa wao wamechemsha
 
Alikuwa na nyodo sana huyo. Watanzania wengi wamemlalamikia hakuwa na msaada wowote
 
Kumbe alikuwa ni Msuya family ndo maana dawa za kulevya zikageuka mali gafi ya kutengeneza madawa!

Na warudi tu wengine waende

Radhia ni Mdogo wake Asha Rose, Usipotoshwe na hayo majina ya Pili wanayotumia ya waume zao, Dada yao ni Mwantumu Malale ambae alikuwa Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege hivi sasa yupo kwenye boards mbali mbali za Mashirika ya Serikali na Chancelor wa MUM.
Hii ni Miongoni mwa familia chache zilizofaidi Uhuru wa 9 December, 1961.
 
View attachment 327312

Rais Dk. John Magufuli, amemrudisha nyumbani aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya, pamoja na watumishi wengine watano, baada ya muda wao kumalizika.

Hii ni mara ya pili kwa Rais Dk. Magufuli kuwarejesha nyumbani Mabalozi wa Tanzania walioko nchi za nje baada ya muda wao wa mkataba kumalizika.

Ikumbukwe kuwa Januari 25, mwaka huu, Rais Magufuli alimrejesha nyumbani Balozi wa Tanzania aliyeko London, Uingereza, Peter Kallaghe, kuja kufanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Dk. James Msekela na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Dk. Batilda Buriani, baada ya mikataba yao kumalizika.

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga, amesema kurudhishwa nyumbani kwa Balozi Msuya, ni jambo la kawaida kwa sababu bado kazi ya kuwarudisha nyumbani Mabalozi waliomaliza mikataba yao linaendelea.

Alisema kwa sasa serikali inachofanya ni kuwarudisha nyumbani Mabalozi ambao mikataba yao imemalizika na kuwapeleka watumishi wengine wakapate uzoefu nje ya nchi.

Na ikumbukwe kuna watu wameteuliwa kuwa Mabalozi na hawajapangiwa vituo vya kazi

Alisema kuna makundi matatu ambapo kundi la kwanza ni watumishi wa idara ambao muda wao wa miaka mitano umemalizika ambao wanarudishwa nyumbani ama kuhamishiwa kituo kingine cha kazi.

Alisema kundi la pili ni la Mabalozi ambao siyo watumishi wa wizara, lakini waliteuliwa na Rais kwa mkataba, hivyo mikataba yao ikimalizika Rais mwenyewe ndiye anayeamua kama ni kuwaongezea au kusitisha na kurudi nyumbani.

Dk. Mahiga alitaja kundi la tatu kuwa ni Mabalozi ambao muda wao wa kukaa nje umemalizika au umri wao wa kustaafu umefika, lakini mikataba yao bado haijamalizika, hivyo Rais anaamua kuwarudisha nchini ili wapumzike na wengine wakashike nafasi zao.

Alisema kuna Mabalozi ambao mikataba yao ya kufanya kazi nje ya nchi ni miaka mitano, lakini wamekaa zaidi ya miaka 10, hivyo serikali iko katika mchakato wa kuwarudisha nyumbani.

Waziri Mahiga alisema kuna vituo zaidi ya 35 ambavyo vinatakiwa kuwa na Mabalozi, hivyo serikali itahakikisha inawarudisha nyumbani mabalozi waliomaliza muda wao wa kazi na kupangiwa majukumu mengine.

Chanzo:
Mpekuzi Blog
 
kwani wewe ni mtoto wa mwinyi, kawawa, jakaya au sokoine?

Mkuu umenistua kidogo! Kumbe kama siyo mtoto wa hao uwezekano wa kuukwaa ubalozi haupo? Inabidi niongeze jina langu mwisho lisomeke "Mapango ya Amboni Kikwete,Mkapa, Bilal Mwinyi Sita Makamba..." huenda sitakosa:(
 
Back
Top Bottom