Ruangwa mkoani Lindi umeme ni jipu kubwa

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,082
Licha ya kua jirani Na chanzo cha umeme wa gesi utokao jirani hapo mkoani mtwara bado wilayani ruangwa kumekua Na tatizo la kukatika katika umeme kila wakati mheshimiwa waziri mkuu
MAJALIWA KASIMU MAJALIWA

ruangwa si ndo nyumbani?
mbona jipu hili halitumbuliwi au alijaiva?
 
Asee hata huku Lindi manispaa umeme ni jipu gumu nadhani. Ila maji ni jipu la chuma
 
Ni kweli,umeme wa Ruangwa unatoka Masas,unakuja Nachingwea kisha Ruangwa,so ukizingua popote pale basi lazima Ruangwa uzingue,labda huu mradi wa REA ambao umeme wake umepitia NANGANGA kama utakamilika bas tatizo litaisha,ila huwa nawahurumia sana wategemea umeme Ruangwa maana miaka yote wao ni Mgao tu
 
Back
Top Bottom