Hongera kwao kazi nzuri wameifanya sasa ni wakati wa kufanya kazi za watanzania nawatakia majukumu mema wawe wenye kuwajibika kwaajiri ya watu
Go doctors............. Go ladies
Kutoka katika andiko la mwandishi tujielize yafuatayo
1. Kweli tunataka watu sahihi katika nafasi sahii nadhani jibu litakua ni ndio kama ni hivyo acha tu watu waitwe wengi wachague watu walio bora na wanaofaa ktk nafasi husika
Mind u advantage ya kuwa na mass unemployment inamwezesha...
Mkuu inawezekana Kuna vitu unapenda sana kuongelea e.g maswala ya ngono , kuna picha unazopenda sana kufatilia e.g picha za ngono, kuna video unapenda sana kufatilia e.g zenye mwelekeo WA kingono ngono
Kwa kuwa karibu na vitu hivyo ni lazima utawaza ngono kwa mda mwingi
Any way for every...
Naona jf kama best social network ya kujua watu wengine wanaona nn katika vitu ambavyo na mimi ninavitazama kwa mtazamo flani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia zaidi ya tisini ya miji yote huendelezwa na wageni sasa kama wageni hamna unadhani mji utaendeleaje
Chukua mji ambao ww ndo asili yako afu Fanya tasmin utaona sehemu zote wenyeji ni wachawi na kurogana tu mtu akikaa sehemu moja tu akili aikui na kutanuka ipasavyo hapo huwezi kuziona...
Kubadili currency ina wezekana ila lazima kuwe na strong argument
Mfano hyper inflation
But kuhusu kuamua kuwa thamani yake iweje inategemea vitu kadhaa me ntazungumzia viwili
1. Nature ya uchumi Wa dunia kwa sasa uchumi wa dunia uko under control of capitalism ( resources go those who are...
Muulize tuu coz kwa baadhi ya shule kuna utaratibu wa kupima mimba kwa wanafunzi wa kike
Ila cjui kama huwa wanaondoka na vitu kama hivyo
My stand : usi panic take action mweke chini ajue msimamo wa mzee
Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.