Shikamoo Jiwe kweli tumekubali matokeo

Shikamoo Jiwe kweli tumekubali matokeo

Sema sahivi heshima bar imerudi sio kwa vijana Au wazeee..japokuwa watu wanafukia bia kama kawaida
Kumbe maisha hayajawa magumu kama watu wanavyodai ila fedha za kuchezea chezea ndiyo zimepungua. Unajua watanzania tumejijengea utamaduni mbaya sana. Mtu akienda bar anataka akafanye kitu kinachoitwa ''kufunika''. Laiti tungejua hata zile nchi zilizoendelea zenye uchumi mzuri huwa watu wanakunywa kwa adabu na hawanunuliani hovyo hovyo kama sisi. Unakuta mtu anaenda bar na mke wake kila mtu anagharamia. Nina uhakika tukiishi maisha ya kawaida (hasa wanaume) eg bila nyumba ndogo na kutumbua hovyo hali siyo mbaya kama watu wanavyodai.
 
Mimi nakunywa bia ya Kilimanjaro.
Sababu ya mie kunywa pombe kila siku, ni kwamba napenda sana kusema kweli. sina "sitilessi" wala nini. Niko happy tu.

SAVE WATER DRINK BEER
.........he was a wise man who invented beer...

.........not all chemicals are bad. Without chemicals such as hydrogen and oxygen, for example, there would be no way to make water, a vital ingredient in beer....
 
*Jiwe oyeeee*

*LUGHA MAARUFU ENZI ZILEEE*

1. Lete Kama Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opena hapa hapa?

*ZAMA HIZI SASA*

1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitamnunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shi'ngapi?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...
[emoji3][emoji3][emoji3]
NA BADOOO! WAKRISTU WAKATOLIKI ZAMA HIZO WALIKUA WANAIMBA TUTALIA NA KUSAGA MENO. LK 13:28
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
8. Lete supu tu bila finyango kwani shi'ngapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha jamaa angu flani kwenye hii kauli
 
Kumbe maisha hayajawa magumu kama watu wanavyodai ila fedha za kuchezea chezea ndiyo zimepungua. Unajua watanzania tumejijengea utamaduni mbaya sana. Mtu akienda bar anataka akafanye kitu kinachoitwa ''kufunika''. Laiti tungejua hata zile nchi zilizoendelea zenye uchumi mzuri huwa watu wanakunywa kwa adabu na hawanunuliani hovyo hovyo kama sisi. Unakuta mtu anaenda bar na mke wake kila mtu anagharamia. Nina uhakika tukiishi maisha ya kawaida (hasa wanaume) eg bila nyumba ndogo na kutumbua hovyo hali siyo mbaya kama watu wanavyodai.

Kweli kabisa watu wanazungusha round bila kujali ni mwanamke ama siyo na hata mwanamke hataki kununuliwa labda awe changudoa. Uki m offer mtu asiyekujua hachukui bia yako.
 
Kumbe maisha hayajawa magumu kama watu wanavyodai ila fedha za kuchezea chezea ndiyo zimepungua. Unajua watanzania tumejijengea utamaduni mbaya sana. Mtu akienda bar anataka akafanye kitu kinachoitwa ''kufunika''. Laiti tungejua hata zile nchi zilizoendelea zenye uchumi mzuri huwa watu wanakunywa kwa adabu na hawanunuliani hovyo hovyo kama sisi. Unakuta mtu anaenda bar na mke wake kila mtu anagharamia. Nina uhakika tukiishi maisha ya kawaida (hasa wanaume) eg bila nyumba ndogo na kutumbua hovyo hali siyo mbaya kama watu wanavyodai.
Yaah hali haitokuwa mbaya sema watu wanaishi kwa kuonesha kwamba anakipato sema nini tena..wahudumu wa bar nao wanaongeza cost
 
*Jiwe oyeeee*

*LUGHA MAARUFU ENZI ZILEEE*

1. Lete Kama Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opena hapa hapa?

*ZAMA HIZI SASA*

1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitamnunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shi'ngapi?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...
😀😀😀
NA BADOOO! WAKRISTU WAKATOLIKI ZAMA HIZO WALIKUA WANAIMBA TUTALIA NA KUSAGA MENO. LK 13:28
😂😂
😂😂😂😂
Ahaaaaaaa!
 
Kiuhalisia purchase power ya watu inaposhuka kwa kasi watu wanaelekea kwenye ufukara. Sio kitu cha kusifia hicho!
 
Na pale kukiwa na uchumi bandia pia siyo kitu cha kufurahia. Ndiyo maana huko nyuma miaka ya ruksa wachache walitisha lakini hospitalini kukikosa dawa hiyo purchasing power unayoizungumzia itasaidia nini? Hatupendi Purchasing power bandia mkuu. Angalia pande zote mbili huwezi kuniambia puchasing power ipo kwenye kuonyeshana nani zaidi kununua bia. Ama sikuelewi mkuu.
 
kwamba chumi zilizopita zilikua bandia ila uchumi huu ambao biashara hazifanyiki na kula ni tabu ndo uchumi halisi!!!?..mnajitoa sana akili,acheni bangi,kubalini mmebugi..ndiyo uungwana
 
Na pale kukiwa na uchumi bandia pia siyo kitu cha kufurahia. Ndiyo maana huko nyuma miaka ya ruksa wachache walitisha lakini hospitalini kukikosa dawa hiyo purchasing power unayoizungumzia itasaidia nini? Hatupendi Purchasing power bandia mkuu. Angalia pande zote mbili huwezi kuniambia puchasing power ipo kwenye kuonyeshana nani zaidi kununua bia. Ama sikuelewi mkuu.
Hizi ni propaganda za watu wa Jiwe. Ugumu wa maisha unatokana na kukatiwa misaada na wahisani kutokana na sera zenu mbovu period!
 
Wanaosema ugumu wa maisha walio wengi ni wale waliokua katika list ya kwanza kulikoni? Na inavyoonekana hata wewe upo katika hiyo list. Rostam Azizi leo kadhihirisha huo unaousema ni uongo mazoea ya njia za mkato yana mwisho
 
*Jiwe oyeeee*

*LUGHA MAARUFU ENZI ZILEEE*

1. Lete Kama Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opena hapa hapa?

*ZAMA HIZI SASA*

1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitamnunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shi'ngapi?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...
😀😀😀
NA BADOOO! WAKRISTU WAKATOLIKI ZAMA HIZO WALIKUA WANAIMBA TUTALIA NA KUSAGA MENO. LK 13:28
😂😂
😂😂😂😂
Akili za kimasikini hizi
 
Wanaosema ugumu wa maisha walio wengi ni wale waliokua katika list ya kwanza kulikoni? Na inavyoonekana hata wewe upo katika hiyo list. Rostam Azizi leo kadhihirisha huo unaousema ni uongo mazoea ya njia za mkato yana mwisho
Hizo unazoongea bado ni propaganda. Kumsifia jiwe ni kujitoa ufahamu tu ila ukweli unaujua!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom