Nina tatizo la kuwazia wanawake tu

Nina tatizo la kuwazia wanawake tu

Mkuu inawezekana Kuna vitu unapenda sana kuongelea e.g maswala ya ngono , kuna picha unazopenda sana kufatilia e.g picha za ngono, kuna video unapenda sana kufatilia e.g zenye mwelekeo WA kingono ngono


Kwa kuwa karibu na vitu hivyo ni lazima utawaza ngono kwa mda mwingi

Any way for every action there is equal and opposite reaction so going against vitu hizo zinaweza saidia kuwa normal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna tatizo lolote, mazingira uliomo ndio tatizo.
1. Upo kwenye magroup manane ya masuala ya mahusiano
2. Mitandao unayopitia ni ya masuala hayo hayo
3. Watu unaokaa nao mazungumzo yao ni kwa masuala hayo hayo
4. Hapa napo tunajadili hayohayo.

Amua tu kuacha japo hakuna sheria unayovunja kwa kuwaza hao viumbe.
 
Bonge la kalio, mapedeshee wanamwaga bonge la salio.
Natetema mwili likikatisha Wowowo.
 
tukuwekee super glue machoni mkuu[emoji2] [emoji16] [emoji23]

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom