Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
- Thread starter
- #181
Hongera bana.Ndio nipo poa kabisa.. Tangu nimalize advance sikuona tena hayo mandoto sa sijui walikua wanafunzi wenzangu sijui kina nani sijui hata make nilisomea bweni na ilikua mchanganyiko wa wanafunzi wengi wengi toka sehemu mbali mbali .
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Labda pengine ilikuwa ni hapo shuleni au wanafunzi wenzako.yote yawezekana