Kweli mkuuKila siku najifunza kitu umakini unahitajika katika kujifunza humu jf
Asant mtoa mada upande wangu jf ninamuda kidogo toka nimejiynga ila moja imenisaidia kukutana na baazi ya wenzangu tulio soma songea boy's au box 2 pia imeweza kunisaidia kumpata mwana jf mmoja ambae amekua akinishaur mambo mengi juu ya ujasiliamali kwa kweli namshukuru pia niliwahi weka bandiko moja juuu ya kile ninacho kipenda nilipata mawazo mazur kutoka kwa wanajf mbali mbali pia nao nawashukuru sanaWadau wote wa ufipa na hapa kwetu Lumumba, na wale wote wasiokuwa na vijiwe, nawasalimu ktk jina la JF!
Je JF imekusaidiaje tangu ujiunge?