Recent content by mwasu11

  1. mwasu11

    Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    😀ukiona mwanamke anaishi na wewe kwasabu ya pesa zako huyo sio mwanamke huyo malaya sepa fasta ww sio tajiri dunianzika kuna wenzio wanapesa zaid yako wata kugongea mkeo kwasabu ya tamaa zake
  2. mwasu11

    Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Kwa hii thread bila shaka mtoa mada ni mtu asiye taka mabadiliko na ni mtu ana chuki binafsi...... michezo kwasasa ni biashara kubwa duniani tunaona makampuni mengi yana weka pesa kubwa kwenye michoezo hii yote kwasabu kuna potential katika michezo sasa imagine mtu anatilia shaka investment ya...
  3. mwasu11

    Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

    Mm sio msagara ila mtoa post asichafue watu bila sababu asee hao wasagara huji skia wana ishu za hovyo basi tu mtoq mada kaamua kuwachafua bure ila niwatu poa sana ndiomqnq husikii chochote chaajabu kuhusu wao kuhusu kulima na kusaidiqna ni uongo mtupu huyo kakutana na nduguzake wana roho mbayq...
  4. mwasu11

    Machinga; Je tunatatua Tatizo ambalo Halipo?

    Mfano machinga wa k koo....mnao sema wajichange wachukue frame hivi mnajua k koo frame bei gani au mnafikiri ni laki 1 laki2....kuhusu machinga complex lile eneo limejengwa alafu baada ya kuwapa machinga wa karume wakachukua viongozi wa juu wakawa wanawapangisha machinga kwa hela kubwa....wengi...
  5. mwasu11

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habar zenu, Nahitaji kujua machimbo ya madera kwa bei ya jumla kama kuna mtu pia anajua connection na process mzima ya kupata madera kutoka Mombasa naombeni msaada ndugu?
  6. mwasu11

    Awamu ya tano ndiyo ya hovyo kuliko awamu zote

    Lockdown kwa Tanzania can be worse than COVID-19 itself.... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwasu11

    Graphics Design

    Wekeza muda wako wa kutosha ku practice....kujua kuchora si lazima inategemeana unataka kufanya kazi gani.... pia software una download kwa kuanzia download free software zilizo kuwa cracked kama adobe CS 6 na za chini yake zinafanya kazi vizuri hata kwenye duo core zenye ram 2 na graphic ya...
  8. mwasu11

    Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

    Najua una fahamu fika kuwa ram ni temporary storage so program moja kuwa ina chukua nafasi kubwa ni kutokana na matumizi yako Binafsi. ....na hiyo inatoka na program nyingi zimekua developed kuwa zina run auto au zinakua standby pindi unapo washa kifaa chako....kuhusu hii ya chome ni kawaida...
  9. mwasu11

    Je, ni kweli 3,000,000/= ni kubwa kwa kulipia Mahari tu?

    Hizi ndoa za university hizi [emoji28][emoji28][emoji28] 3m kwani unaoa malaika au mermaid......in short hakuna ndoa ya 3m ndoa watu wanalipa mahali haizidi laki 5 nayo huwa hawa malizi.....3m WTF ni kabila gani Hilo lina uza wanawake ......ndoa sio biashara hata ukiwa na laki unaoa labda wazaz...
  10. mwasu11

    Nashauri familia ya Samatta ihamishie makazi sehemu nyingine badala ya Mbagala

    Wacha away prove wrong watu....wengi wanaamini ili ufaulu shule lazima uwe na marafiki wanao faulu....ili uwe tajiri lazima uwe na marafiki matajiri.....hi ni kauli zilizo tengenezwa na wasomi ambazo hazina ukweli mkubwa....ila samatta yeye kabaki zake mbagala ndomana hakuna anaye mchukia kila...
  11. mwasu11

    Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

    Uislamu unaongozwa na Qor'an tukufu na sio masheikh kama wengine mnavo fikir....had masheikh nao ni binadamu pia wana mapungufu nao pia wanapambana na nafsi zao nao pia wanapata matatizo kama tunayo Pata sisi.....hivyo basi kila Qor'an ime haramisha mziki na pesa yake so huwezi kutumia pesa...
  12. mwasu11

    Bunge letu, Mahakama zetu na Dola Vs CHADEMA

    huwezi kutofautisha chama na watu. watu ndio wanaendesha chama, manifesto ya chama inategemea watu na inatungwa na watu, chama kinategemea hao watu ili wakiendeshe bila wao hakuna chama na makosa yao ndio yatapelekea chama kushuka kiushindani hata kupotea kabisa...... napia usiwe shabiki wa...
  13. mwasu11

    Programming

    Java script ni nyepesi kama umesoma angalau basic c++ au python it means ukisoma c++ itakupa unafuu kwa python....pia ili java script uione tamu una ongeza na mashoga zake vipenzi Html Na Css pia na bootstrap kama ukipenda....code is funny
  14. mwasu11

    Ugumu wa kozi ya computer science

    Kwa sisi tulio pitia frm6 nmesikia ndio kunakua na ugumu kuliko wa lio pitia diploma....pia walio pita diploma wanakua na advantage ya kumudu kozi hii.....plz nipe uthibitisho wa hizi kauli ili nijue chaku fanya kabla
  15. mwasu11

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mimi mwenyewe za wa vaa suti nimeiona city hunter na iris ila za pori ndo zenyewe mi napenda mapanga na stail yao ya uvaaji inanikosha ila hata zile mastering wanakua madem huwa sizi shobokei sana huwa zinaisha kiboya iliyo isha poa ni arrow on the bow string tu
Back
Top Bottom