Bunge letu, Mahakama zetu na Dola Vs CHADEMA

nkungu mwere

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
258
336
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA

Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
  • Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
  • Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
  • wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
  • Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
  • Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
 
Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero

State agent
 
Sero ni sehemu ya kawaida kabisa kwa wapinzani kwenye nchi zenye madictator uchwara na madictator wa ukweli. Hakuna jipya kwenye hilo lakini huwa ni mambo ya mpito tu. Hivyo mnaweza kujimwambafy japo ni kwa muda mfupi tu. Leo tayari miaka minne imeisha bado mmoja na bado huo uoga uliotegemewa sio wa hivyo.
 
Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero

State agent
Dola yenyewe ndo inatakiwa ikubali vyama hasa vya upinzani vifanye siasa huru ili iweze kujitambua wapi imepwaya, na si kutumia ubabe na kutopenda kukosolewa. Angalia yalofanywa na dola kupitia watendaji wake kwenye huu mchakato wa uchaguzi was serikali za mitaa ambao kwa sasa umeshakuwa kama was maigizo na kitoto kabisa.
 
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA

Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
  • Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
  • Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
  • wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
  • Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
  • Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
Kwanini chadema wanachukuliwa kama siwatanzania nikiangalia hata taarifa zao sizioni kama ilivyokuwa zamani kwakweli pamoja nayote sintowasahau wamenifunza makubwa kuliko chama chochote Sikuwa mwanachama wala mshabiki wao bali nimepata mafunzo kupitia mikutano yao wanajuwa kufundisha kweli usipowaelewa hawa wewe kilaza japo mimi simwanachama nawala sitegemei
 
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA

Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
  • Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
  • Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
  • wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
  • Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
  • Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
Maendeleo yana vyama
 
Polisi, Mahakama, Jiwe, Bunge, Green guard, TISS, PCCB, Banks, DCs, RCs na vibaraka wengine, wote hawa wameishindwa CHADEMA! Huu ni mpango wa Mungu
 
Akina Mbowe si Chadema, Chadema ni chama si mtu. Kingunge aliondoka CCM, Kolimba aliondoka CCM na chama bado kipo, jifunze kufikiri na si kukaririshwa.
huwezi kutofautisha chama na watu. watu ndio wanaendesha chama, manifesto ya chama inategemea watu na inatungwa na watu, chama kinategemea hao watu ili wakiendeshe bila wao hakuna chama na makosa yao ndio yatapelekea chama kushuka kiushindani hata kupotea kabisa...... napia usiwe shabiki wa chama itakufanya uwe kipofu kwa mabaya yatayo tokea katika chama kama tunavo oona kwa CCM, CHADEMA, ACT etc. penda lengo la mtu na kwa sababu huwezi kujua lengo la mtu tuna tumia kuchambua hoja na tabia zake.....niki muuliza mtu wa CCM ataje mapungufu ya CHADEMA atataja mengi sana ila ukimwambia ataje ya CCM atababaika ai asitaje kabisa hivyo hivyo kwa CHADEMA so jaribu kui control nafsi yake isikufanye kua mfuasi unaeburuzwa
 
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA

Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
  • Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
  • Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
  • wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
  • Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
  • Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
Muda wa mavuno utakapowadia, watawala watakuja kuvuna wanachokipanda sasa. Ukipanda maboga ukavuna maboga.

Kuna ile kanuni ya mapambano. Inasema "kiwango kilekile cha nguvu hutumika kuzuia; "resist", msukumo; "force", kutoka nje: to every force there is equal resistace.

Nia ya mihimili mitatu: serikali, bunge, na mahakama ni kuhakikisha kuwa CHADEMA na upinzani kwa jumla vinakufa kwa kuwatia hofu wananchi. Aidha, vyama vya upinzani vinakosa hata chembe ya muda (overstretched) na utulivu wa kuweza kufanya siasa.

Paradox: wananchi wanaona hayo yakitendeka na kuchukizwa nayo ni wengi zaidi kulinganisha na wanaorubuniwa kuhamia ccm. Punde tu ccm itajiangusha.

Ni mkakati wa wao kudunisha maisha ya mtanzania ili kumfanya asifikirishe akili zake mbali na kuwazia ugali wake. Kuwakosesha wahitimu ajira pia unaweza kuwa mpango mkakati.
Watoto wa viongozi wanasoma bila shida na kuajiriwa. Kinatengenezwa kikundi cha watawala.

Pasipo kujua kuwa mambo hubadilika, wanatengeneza bomu la baadaye.
 
Chadema bila kubadili na kufanya siasa za kuheshimu dola watapotea na kuozea sero

State agent
Wewe wapoteze tu wenzio lakini ujue kuna siku yako inakuja pia unaweza ukafikiri ni mwamba lakini amini ninyi mnao tuchafulia chama kwa utekaji amstahili hata kula chembe ya tunda la kodi ya wananchi ninyi ndo mnatuletea siasa za kipuuzi kwa njaa zenu . Mnamuharibia muheshiwa raisi sifa bure kwa maslahi yenu.
 
Hawapitii mtihani wowote bali ni wapumbavu,kukiuka mashariti na kudharau mahakama ni mtihani?
Acha bangi
Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA

Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
  • Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
  • Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
  • wakifanya vikao kwa ajili ya uchaguzi,polisi "dola"inavizuia
  • Wakijipanga kwa uchaguzi msajili anawaamuru wafanye uchaguzi,
  • Wakikomaa kwenye uchaguzi wagombea wao wote wanapoteza uwezo wa kusoma na kuandika,
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom